LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kwa sababu Chanika kuna " uhai" .
Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika.
Siku hizi wafanya biashara wa kariakoo karibu wote wamehamia Chanika kimakazi.
Sio WAJINGA hao. Wame detect " uhai" kuu ya ardhi ya chanika...