Kuna piss kali !.Kwa sababu Chanika kuna " uhai" .
Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika.
Siku hizi wafanya biashara wa kariakoo karibu wote wamehamia Chanika kimakazi.
Sio WAJINGA hao. Wame detect " uhai" kuu ya ardhi ya chanika...
Mkuu at this age bado hujui kwamba kuna sehemu "zimekufa " hazina uhai ndani yake? Vivyo hivyo zipo sehemu zenye " uhai" .This is a very deep mystery.Uhai gani uliopo chanika ambao haupo sehemu zingine?
Pana rutuba ya Kilimo?
Pana maji ya kutosha?
mkuu upo sahihi issue ya ardhiWhat?
Chanika kigeziKwa sababu Chanika kuna " uhai" .
Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika.
Siku hizi wafanya biashara wa kariakoo karibu wote wamehamia Chanika kimakazi.
Sio WAJINGA hao. Wame detect " uhai" kuu ya ardhi ya chanika...
Chanika cwez kuishi. Miaka ya 2006 nilinunua heka 6 bei chee kabisa naona kuna shule inataka kunivua. Ila kuishi hapana aisee. Mi nitaish wilaya kinondon na Zaid sana nikijaliwa uzima kuna umri ukifika nitarud Moshi nyumban kuishi ni kuzur zaid kwangu.Kwa sababu Chanika kuna " uhai" .
Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika.
Siku hizi wafanya biashara wa kariakoo karibu wote wamehamia Chanika kimakazi.
Sio WAJINGA hao. Wame detect " uhai" kuu ya ardhi ya chanika...
Unaishi chanika ipi mkuu? Dar yote hakuna sehemu sikukuu zinakuwaga active kama chanika. Yani vibe kama la sikukuu za miaka ya 90. Jana watu wamekesha hapo Butiama. Leokulikuwa na disco toto hadi saa kumi na 2 watoto kama wote at the same time upande wa swimming kuna vibe kama lote watoto wazuri kama wote.Chanika ipi hiyo?
Leo sikukuu watu tupo hoi sijasikia hata harufu ya pilau
Labda kilimo cz kila nyumba kuna bustani ya matembele na miwa
OkayChanika cwez kuishi. Miaka ya 2006 nilinunua heka 6 bei chee kabisa naona kuna shule inataka kunivua. Ila kuishi hapana aisee. Mi nitaish wilaya kinondon na Zaid sana nikijaliwa uzima kuna umri ukifika nitarud Moshi nyumban kuishi ni kuzur zaid kwangu.