Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Mohamedex121

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
1,725
Reaction score
3,271
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
 
Hii ni kwa wabongo kwa sababu wabongo wengi social media wanaitumia kwa vitu vya kijinga sana. Ukiwa na akili ni sehemu nzuri sana ya kuongeza ufahamu na elimu yako.
Elimu gani mkuu unaweza kupata kwenye mitandao ya kijamii?

Watu wengi wanafeki life wanajiita motivation speaker kumbe hamna lolote.

Kama ni elimu mtaani utaipata vyema ukifocus na maisha seriously
 
Binafsi bila smartphone mambo yangu mengi sana yatakwama. Kama huna cha maana unachofanya mtandaoni kweli smartphone itakuharibia. Mimi pamoja na kuwa mtumiaji wa mtandao sana niliamua kujitoa kwenye magroup yote ya watsapp. Yale magroup yanapoteza muda na ni sehemu za watu kujimwambafy.
 
Back
Top Bottom