Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

We jamaa upo upo kizamani sana,ivi unajua iyo mitandao watu wanaitumia kuingiza pesa,watu wanafanya online business zao mitandaoni ,sio Kila mtu yupo Facebook,insta na WhatsApp kupoteza muda,wewe ndo Haina faida kwako achana nayo .
Yes am old school I have a good manner and I will never change my mind set bro
 
Mwalimu wangu aliwahi kunambia "kichwa kikikosa akili, mwili utateseka sana". Nenda kachimbe mitaro uutese mwili wako upate hela, huku wenzako wanatumia akili na simu zao kutengeneza pesa bila jasho.
 
Smartphone sio tatizo the problem iz social media lakini sio jamii forum I'm serious.

We sema umeishiwa unauza simu upate mtaji otherwise hoja zako hazina mashiko...

Thank you
 
unaishi kwenye itikadi zilizopitwa na wakati, nasikitika kwa msimamo huu ulionao utakuwa maskini kuanzia wewe mpaka uzao wako wa nne. naondoka zangu..
 
Kariakoo kuna vijana kibao wanamake pesa kupitia simu zao kwa kuuza vitu mblmbl walivyopost kwenye mitandao yao ya kijamii wakati hawana hata maduka.
 
Hizo online courses zimekusaidia nini kwenye maisha yako, zaidi ya kupoteza pesa ya bando na muda wako. let say unasomea kozi ya business online sio?? Je unafundishwa in practical au ni theory tu ndo unakaririshwa bila vitendo
 
Ntaonaje email
Ntatumaje files kwa haraka
Sometimes ndo wifi yangu
Inanisaidia kupata taarifa kwa haraka
 
Hizo online courses zimekusaidia nini kwenye maisha yako, zaidi ya kupoteza pesa ya bando na muda wako. let say unasomea kozi ya business online sio?? Je unafundishwa in practical au ni theory tu ndo unakaririshwa bila vitendo
Mkuu Bruce lee aliwai kusema akili ni kama maji ukiyaweka kwenye kibuyu yatafuata umbo la kibuyu.....ukiweka kwenye pipa yatafuata umbo la pipa.....
So wewe Usha Jenga concept zako na assumption zako mkuu....
Maisha hayakariwi kama msaafu....itoshe kusema ufahamu wako ni mdogo sana....

Watu wana graduate Kwa msaada wa Google 🎓🎓🎓 Bado hauoni faida za mitandao

No beef mkuu
Kila lakheli

Wasalaam
 
Ng'ombe huyo achana nae
 
CAME ON GUYS!! LEAVE THE PHONE AND LET'S GO TO STREET TO MAKE SAME MONEY [emoji383][emoji383][emoji383]

NIAMINI MIMI PESA IPO MTAANI NASIO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII WALA HIZO DIGITAL MARKETING
 
Kwa ulimwengu wa sa hv Huwez toboa bila smartphone believe me labda ukalime...au uendeshe bajaji , inategemea tuu unaitumiaje , wengine smartphone ndo office , bando ndo wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…