Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Biashara zote sikuhizi zinategemea social networks thru smartfones kukuza wigo wa wateja. Wewe bladfaken mmoja kutoka sweken huko unakuja kusema chimatifoni bla bla bla...shwain kabisa.
 
Naomba nikuuliza swali dogo tu.

Hivi unadhani members wote wa humu JF tuna kipato sawa? Hasa hasa vijana uliokomalia zaidi, kipato na shida ulizo nazo ndio hizo hizo tulizoo nazo na sisi wengine?
Mimi sifahamu mkuu, na wala sihitaji kufahamu vipato vya wengine na shida za wengine mkuu. Kuacha matumizi ya smartphone ni maamuzi yangu na naona nipo sahihi nyie endeleeni kupoteza pesa na muda wenu humu jamiiforums kufuatilia udaku, wanasiasa ambao hata wao hawawajui , pia endelea kufuatilia nyuzi za watu humu ukizani watu wapo really kumbe wanafake life mtandaoni
 
shifa
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Nata minguliza shukurani waku

Natanguliza shukurani wakuu.
Kwa

Pole sana ndugu, mpaka sasa hujui umuhimu wa smartphone??

Kwa hali hiyo hata mimi nakishauri uiache
 
Labda ww ndio muda wako unapotea Simu siku hz ina support kubwa sana kwenye shughuli za watu.

Nayumba sana nikikosa smart hata kwa week tu.
 
Biashara zote sikuhizi zinategemea social networks thru smartfones kukuza wigo wa wateja. Wewe bladfaken mmoja kutoka sweken huko unakuja kusema chimatifoni bla bla bla...shwain kabisa.
Wewe unabiashara gani??? Kuna biashara ulishawahi kuitangaza humu ikakuongezea wigo wa wateja???[emoji23][emoji23][emoji23] Unajisumbua tu kubali tu kuwa hapo ulipo huna kazi wala biashara you are jobless and hopeless ushakata tamaa ya maisha so umeamua mitandao ya kijamii ikupunguzie msongo wa mawazo
 
Leta ushuhuda waliofanikiwa kupitia hizo mnazoziita digital marketing!! Acha ubabaishaji uko ni utapeli!!
Tatizo lako mbishi, unabisha kitu hukijui..

Ndio maana unaona unapoteza muda kutumia smartphone

Natakupa homework, Anza Google hiyo kitu digital marketing..

Hatuongelei Network marketing..
 
Kwahiyo kukurahisishia kutembea na laptop nayo ni faida?? Mkuu am talk about money, did your smartphone have gave a money au wewe ndo kama mimi kila siku kupoteza pesa za mabando na kuwa masikini
Hebu andika Kiswahili bwana we!! have gave a money ndio Kiingereza cha wapi hiki? Wambie watu wa Sitimbi huko ndio waache Smartphone
 
Na wewe ni Msomi
Wazazi walikua wakitoa Ada Kwa muda wa miaka kumi na kitu
Wamepoteza Bora wamekunywa bia hizo pesa.
 
Nakuona msomi mwenzangu uliye jobless na hopeless endelea kutumia hiyo mitandao ya kijamii ikupunguzie stress usijejinyonga kwa kuwa jobless bure
 
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
Yaani wewe ni mjinga wa mwisho, na sisi tunaofanya biashara mtandaoni tuache pia?
 
Kwahiyo kukurahisishia kutembea na laptop nayo ni faida?? Mkuu am talk about money, did your smartphone have gave a money au wewe ndo kama mimi kila siku kupoteza pesa za mabando na kuwa masikini
Kazi zangu ndizo sehemu ya matumizi ya hiyo Simu, issue ya bando inategemea unatumia kwa matumizi gani na una lengo gani..... huwezi kuwa na hitimisho eti smartfoni zinatia umaskini.......siyo kila mtu anatumia vibaya kama unavyofikiria mkuu,na usikidanganye kizazi chako na ukoo wako utawapoteza zaidi
 
Back
Top Bottom