Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Biashara zote sikuhizi zinategemea social networks thru smartfones kukuza wigo wa wateja. Wewe bladfaken mmoja kutoka sweken huko unakuja kusema chimatifoni bla bla bla...shwain kabisa.
Dogo anakwambia digital marketing ni utaperi .

Hii mbuzi sijui ya wapi
 
Tatizo lako mbishi, unabisha kitu hukijui..

Ndio maana unaona unapoteza muda kutumia smartphone

Natakupa homework, Anza Google hiyo kitu digital marketing..

Hatuongelei Network marketing..
[emoji23][emoji23]Sawa Elon musk Najua apo ushapiga dollars fulani kila unapotumia google
 
Mimi sifahamu mkuu, na wala sihitaji kufahamu vipato vya wengine na shida za wengine mkuu. Kuacha matumizi ya smartphone ni maamuzi yangu na naona nipo sahihi nyie endeleeni kupoteza pesa na muda wenu humu jamiiforums kufuatilia udaku, wanasiasa ambao hata wao hawawajui , pia endelea kufuatilia nyuzi za watu humu ukizani watu wapo really kumbe wanafake life mtandaoni
So how do i get affected by those situations?
 
Kazi zangu ndizo sehemu ya matumizi ya hiyo Simu, issue ya bando inategemea unatumia kwa matumizi gani na una lengo gani..... huwezi kuwa na hitimisho eti smartfoni zinatia umaskini.......siyo kila mtu anatumia vibaya kama unavyofikiria mkuu,na usikidanganye kizazi chako na ukoo wako utawapoteza zaidi
Kumbe kubetting nayo ni kazi??? Unatumia smartphone kubetting unasema unafanya kazi zako seriously???? Okay Sawa wewe ni Mo dweji
 
Dogo anakwambia digital marketing ni utaperi .

Hii mbuzi sijui ya wapi
Wewe ndio mbuzi hivi kwa akili yako unaamini biashara za online kukutoa kimaisha?? Kweli wewe kichwe bogus [emoji23][emoji23] halafu mnaamini zile apps za kudownloading money Loh! Shame on you
 
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
We jamaa upo upo kizamani sana,ivi unajua iyo mitandao watu wanaitumia kuingiza pesa,watu wanafanya online business zao mitandaoni ,sio Kila mtu yupo Facebook,insta na WhatsApp kupoteza muda,wewe ndo Haina faida kwako achana nayo .
 
Studies zinaonesha hivyo.

Ni afadhali kujizoeza kujisomea vitabu kuongeza kiwango cha ufahamu Na ubunifu kuliko umbea Na unywanywa wa kwenye mitandao ya jamii.
Kabisa mkuu tatizo la vijana wasasa hivi ni kupenda udaku, kufuatilia maisha ya wasanii mara wachezaji na mambo yasiyo na umuhimu
 
Kumbe kubetting nayo ni kazi??? Unatumia smartphone kubetting unasema unafanya kazi zako seriously???? Okay Sawa wewe ni Mo dweji
Hizo ni akili zako za Old stone age unazileta hapa........kwanza inawezekana nabishana na mtu asiye na exposure yoyote....... huduma zote muhimu zipo kwenye Simu......hayo ya kubet ni kukariri kwako na uelewa wako mdogo wa Dunia ilipo.

NB:Hii ndiyo comment ya mwisho, siwezi kuendelea kudebate na mtu anatumia kitochi,ni kupoteza muda
 
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
Mkuu unajidanganya aisee mm na muda sijawai fungua Facebook, Instagram hata mwaka unapita ntafungua mara Moja......

Badilisha mitazamo mkuu #Asap
😊😊
Watu tuna/ wana piga pesa na online shop...
Watu wanasoma wanachota maarifa 🤓🤓 na online courses zimejaa everywhere...

Mkuu labda wanao shinda mtandaoni kusoma udaku na kuangalia wanawake wenye Makario makubwa......

Faida za mitandao in a positive way zipo nyingi sanaa & vise versa is true
 
Hizo ni akili zako za Old stone age unazileta hapa........kwanza inawezekana nabishana na mtu asiye na exposure yoyote....... huduma zote muhimu zipo kwenye Simu......hayo ya kubet ni kukariri kwako na uelewa wako mdogo wa Dunia ilipo.

NB:Hii ndiyo comment ya mwisho, siwezi kuendelea kudebate na mtu anatumia kitochi,ni kupoteza muda
Sawa bill gates kila la heri kwenye ku make money online uingize dollars you are billionaire
 
Back
Top Bottom