Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Bila smartfoni tatizo labda kama uko porini huko mtandao unasoma E,huna haja nayo....fursa unaweza kuipata via mtandaoni

Binafsi imenirahisishia kutembea na [emoji335] na begi kila muda au kusubiri mpaka niwe karibu na desktop hata kama nasafiri kila kitu kinaishia kwenye Simu bila shida na mambo yanaenda
Kwahiyo kukurahisishia kutembea na laptop nayo ni faida?? Mkuu am talk about money, did your smartphone have gave a money au wewe ndo kama mimi kila siku kupoteza pesa za mabando na kuwa masikini
 
Mshamba usimsanue, muache auze simu yake akapande juu ya meza kitambaa...
Sasa mimi na wewe nani mshamba??? Mshamba ndio wewe unayepoteza muda wako kwenye masocial media ambayo hata hayakisaidii halafu unajiita mjanja, hivi wewe kwa akili yako unadhani kuna mtu atakayekusaidia humu JF kwa kuelezea shida zako, Loh mind your business acha kutegemea misaada ya bure tafuta chako
 
Motivational speaker wa nyokooo? Mi nakuambia uhalisia mimi ni TEAM LEADER kwenye mtandao fulani wa simu hapa Tz na nina team inafanya kazi vizuri tu. Hivi mtaani kwako hamna vijana wanaosajili line? Sasa hao mimi ndio nawamanage. Mfano nanunua smartphone labda laki 1 nampa kijana namfanyia training akiiva anaingia mzigoni team nzima ikifanya kazi vema nna uhakika wa kuingiza pesa ndefu. Baki na smartphone kuchatia nina degree 1 tu lkn naweza kuwa na kipato kikubwa kuliko mjombaako kijana. Karibu kwa maulizo PM PIMBI FC
Sawa mtoto wa bakharesa, wewe ni Mo dweji Mkuu
 
Una mtazamo hasi kuhusu matumizi ya smartphone wakati wenzako wanazitumia kama nyenzo ya kurahisisha kufanya shughuli zao za kupata fedha. Kijana gani wa kileo una mtazamo mbaya wa simu hizo? Tatizo wengi mnazinunua simu hizo kama fasheni tu na kufuata mikumbo. Tumieni simu hizo kupata maarifa na taarifa za kufanya maamuzi katika kuchochea shughuli za maendeleo
 
Kazi yangu bila smart haifanyiki.App za benki,App za ratiba ya kazi.App za kutransfer pesa,App za kukatia ticket za usafiri,App za online shopping,App za discounts,App za kufahamu barabara ipi ina foleni,App za kufahamu ratiba na saa za vyombo vya usafiri.Vilevile sihitaji kubeba wallet wala kadi natumia smartphone.
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unapoteza sana muda na hela za kudownloading hizo app unazozijaza kwenye simu yako?? But it's okay it's you choice
 
Una mtazamo hasi kuhusu matumizi ya smartphone wakati wenzako wanazitumia kama nyenzo ya kurahisisha kufanya shughuli zao za kupata fedha. Kijana gani wa kileo una mtazamo mbaya wa simu hizo? Tatizo wengi mnazinunua simu hizo kama fasheni tu na kufuata mikumbo. Tumieni simu hizo kupata maarifa na taarifa za kufanya maamuzi katika kuchochea shughuli za maendeleo
[emoji23][emoji23][emoji23] ebu toa mfano simu inawezaje kuchochea maendeleo ya aneimiliki?? Ebu kuambia wewe apo ulipo umepata maendeleo gani ulivyoanza kutumia hiyo smartphone yako ?? Be seriously mkuu!! Hizi smartphone zinatupotezea muda na hela utaacha kufanya vitu vya maana kwenye maisha, ukiiendekeza hizi mitandao ya kijamii isiyonafaida yoyote kwako
 
Mohamedex121 wapi nimesema nategemea kusaidiwa na mtu humu JF?
Ushamba wako ni kujua matumizi ya smartfone ni kuperuzi tu mitandao na ndio maana inakucost. Transform it to be a source of ur income badala ya kuiuza, try to expand ur thinking capacity!
 
Naomba nikuuliza swali dogo tu.

Hivi unadhani members wote wa humu JF tuna kipato sawa? Hasa hasa vijana uliokomalia zaidi, kipato na shida ulizo nazo ndio hizo hizo tulizoo nazo na sisi wengine?
 
Mohamedex121 wapi nimesema nategemea kusaidiwa na mtu humu JF?
Ushamba wako ni kujua matumizi ya smartfone ni kuperuzi tu mitandao na ndio maana inakucost. Transform it to be a source of ur income badala ya kuiuza, try to expand ur thinking capacity!
Sawa motivation speaker wa digital marketing na mzee wa trade forex nakuona hapo unavyoingiza ma dollars kwenye smartphone yako soon tunakuita billionaire
 
Back
Top Bottom