The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Ona huyu mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
Mada kama hizi ukiwapelekea wafanyabiashara wakariakoo sijui kama watakuelewa eti smartphone inachelewesha maendeleo?Biashara zote sikuhizi zinategemea social networks thru smartfones kukuza wigo wa wateja. Wewe bladfaken mmoja kutoka sweken huko unakuja kusema chimatifoni bla bla bla...shwain kabisa.
Simu 200 mpaka 300 na kuendelea walio wengi wako na kazi zao labda unaongelea wanao kula nyumbani watoto wa mamaHabarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
Inaonesha una control ndogo sana ,kuna watu smartphones zi.ewafanikishia mambo mengi mnoo na wamejifunza meengi kupitia smartphones ninachoamini ni kwamba kama una uwezo mzuri wa kuji limit basi mambo yako meengi sana yatanyookaHabarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
Samrtphone ni kama ulimi unaamua mwenyewe uutumie Namna ganiHabarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
Hakuna utajiri wa gafla, wala wa kutegemea sehemu moja, kidogo kidogo hujaza kibaba.Acha ubabaishaji, hizo digital marketing ni utapeli mtupu hakuna aliye tajirika huko
tunatuma picha, tunapokea picha za kufanyia kazi. Mteja anatuma picha ya kitu fulani anataka atengenezewe bidhaa kama hiyo. Sasa smartphone tukiziacha huoni kama tutakuwa gizani? Tatizo vijana wasio na kazi na wasio na cha kujifunza mambo humo wanaperuzi tu bila kupata faida kwao ni hasara[emoji23][emoji23][emoji23] ebu toa mfano simu inawezaje kuchochea maendeleo ya aneimiliki?? Ebu kuambia wewe apo ulipo umepata maendeleo gani ulivyoanza kutumia hiyo smartphone yako ?? Be seriously mkuu!! Hizi smartphone zinatupotezea muda na hela utaacha kufanya vitu vya maana kwenye maisha, ukiiendekeza hizi mitandao ya kijamii isiyonafaida yoyote kwako
Huwezi kuikimbia technologia ukafanikiwaHabarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.
Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.
Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.
Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.
Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.
Natanguliza shukurani wakuu.
Kwa taarifa yako kuchoma mkaa ni dili nowadays watu wamejenga majumba kupitia biashara hiyo unayoidharau, kwakuwa wewe ni msomi unaona biashara ya mkaa ni ya kudharirisha ok endelea kupoteza muda huko kwenye hizo mnazoziita digital marketing, trade forex, betting nk, ili upige dollars ukiwa umekaa tu kwenye kiti bossyBasi wewe dream zako ni kuwa mchoma mkaa,au kuchunga ng'ombe ,hao wachoma mkaa na wanao chunga ng'ombe wanauza bidhaa mtandao ,huwezi ishi bila technologies ,kuna mda utapata fursa flani utataka utumie search engine kama google kujua upana na masoko ya fursa,waweza pata tatizo la kiafya ikawa mkombozi, waweza tafuta bidhaa ukaipata kea haraka,iuze kwanza halafu utaona manufaa badaye
Na mteja akitaka umtumie picha jeKweli mkuu whatsapp nikupoteza muda hata ukisema uitumie kutangaza biashara yako hakuna anayejali unaoneka unataka attention tu kutoka kwa watu lakini pesa hauingizi. Yaani hizi smartphone zinatoa sana kwenye reli vijana wengi mimi pia nikiwemo sijawahi nufaika na hii Smartphone yangu