FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #101
Gereji moja fundi mmoja full stop
sio kila fundi apitishepitishe mikono kwenye gari lako no
mafundi wengine wanabahatisha lakini ukimpata mmoja anaelielewa gari lako vizuri kila kitu kitakuwa shwari.
Tatizo 'ukuwaamini' sana ndio 'wanakuchakachua' vizuri huku unakenua meno kwamba 'gari yako' inahudumiwa vizuri:biggrin1:!
ndio inatakiwa....ukizingatia gari ina airbags...no worries kwa kweli
Lily Flower
wengine mikono yao si ya ufundi zaidi ubabaishaji.....ni vyema fundi mmoja anayeijua garo yako kama ni BMW or zile zinaitwa mwendo wakobe ..hapa Gari itatulia
yaani Preta mie kila nikifungua Sread avatar yako inaniacha hoi:biggrin1:
Swahili saying goes like this: UTAMALIZA MABICHA NYAMA NI ILE ILE!!!!! Tehe tehe tehe sijui ukweli wake kwa kweli!
Hivi hiyo avatar ya Preta ni picha ya nini? Napata hisia kama ni mdada yupo 'ofisi kuu' ana attend short/long call na ameteremsha 'kufuli' kimtindo ...au ni macho yangu tu?
Gereji moja fundi mmoja full stop
sio kila fundi apitishepitishe mikono kwenye gari lako no
mafundi wengine wanabahatisha lakini ukimpata mmoja anaelielewa gari lako vizuri kila kitu kitakuwa shwari.
True ila tatizo hua sio nyama au utofauti wa bucha bali ni MAPISHI!!!Mapishi ndo watu wanafuataSwahili saying goes like this: UTAMALIZA MABICHA NYAMA NI ILE ILE!!!!! Tehe tehe tehe sijui ukweli wake kwa kweli!