FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
- #101
Gereji moja fundi mmoja full stop
sio kila fundi apitishepitishe mikono kwenye gari lako no
mafundi wengine wanabahatisha lakini ukimpata mmoja anaelielewa gari lako vizuri kila kitu kitakuwa shwari.
Lily Flower
wengine mikono yao si ya ufundi zaidi ubabaishaji.....ni vyema fundi mmoja anayeijua garo yako kama ni BMW or zile zinaitwa mwendo wakobe ..hapa Gari itatulia