Ukitaka kufanya service ya gari lako kumbuka yafuatayo!

Ukitaka kufanya service ya gari lako kumbuka yafuatayo!

Gereji moja fundi mmoja full stop
sio kila fundi apitishepitishe mikono kwenye gari lako no
mafundi wengine wanabahatisha lakini ukimpata mmoja anaelielewa gari lako vizuri kila kitu kitakuwa shwari.

Lily Flower
wengine mikono yao si ya ufundi zaidi ubabaishaji.....ni vyema fundi mmoja anayeijua garo yako kama ni BMW or zile zinaitwa mwendo wakobe ..hapa Gari itatulia
 
Tatizo 'ukuwaamini' sana ndio 'wanakuchakachua' vizuri huku unakenua meno kwamba 'gari yako' inahudumiwa vizuri:biggrin1:!

hahahaha hahahaha abiria chunga mzigo wako
 
ndio inatakiwa....ukizingatia gari ina airbags...no worries kwa kweli
V8gdgjtaFVXVQAAAABJRU5ErkJggg==
V8gdgjtaFVXVQAAAABJRU5ErkJggg==

V8gdgjtaFVXVQAAAABJRU5ErkJggg==
Hii ni BMW au V12
 
clooooooooooouddddddddddddsssssssssssssssssssssss FMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMMM
 
yaani Preta mie kila nikifungua Sread avatar yako inaniacha hoi:biggrin1:

Hivi hiyo avatar ya Preta ni picha ya nini? Napata hisia kama ni mdada yupo 'ofisi kuu' ana attend short/long call na ameteremsha 'kufuli' kimtindo ...au ni macho yangu tu?
 
Swahili saying goes like this: UTAMALIZA MABICHA NYAMA NI ILE ILE!!!!! Tehe tehe tehe sijui ukweli wake kwa kweli!
 
Swahili saying goes like this: UTAMALIZA MABICHA NYAMA NI ILE ILE!!!!! Tehe tehe tehe sijui ukweli wake kwa kweli!

Sure utamaliza mabucha yote mpaka kuanza kuhamia ya thamaki
 
Hivi hiyo avatar ya Preta ni picha ya nini? Napata hisia kama ni mdada yupo 'ofisi kuu' ana attend short/long call na ameteremsha 'kufuli' kimtindo ...au ni macho yangu tu?

Duh no comment
 
Gereji moja fundi mmoja full stop
sio kila fundi apitishepitishe mikono kwenye gari lako no
mafundi wengine wanabahatisha lakini ukimpata mmoja anaelielewa gari lako vizuri kila kitu kitakuwa shwari.

hapa inategemea zaidi hilo gari lina hitilafu gani, fundi umeme wa gari hawezi kufanya body work eg painting, na fundi wa engine hawezi fanya kazi umeme n.k hivyo wakati mwingine ni vzr uwashirikishe mafundi with different specialities kwa ubora na uimara wa gari yako
 
Swahili saying goes like this: UTAMALIZA MABICHA NYAMA NI ILE ILE!!!!! Tehe tehe tehe sijui ukweli wake kwa kweli!
True ila tatizo hua sio nyama au utofauti wa bucha bali ni MAPISHI!!!Mapishi ndo watu wanafuata
!!
 
Back
Top Bottom