Ukitaka kuishi maisha marefu usioe

Sema kila nikifikiria huwa msibani wanasema marehemu kaacha mke na watoto kadhaa naona kuoa muhimu. Pia ni uzalendo kuongeza nguvu kazi. Legacy ni pamoja na kuacha familia. Tatizo pia nikifikiria ninavyoenda kuuza uhuru nilio nao kisa papuchi roho inauma kinyama. Ee Mungu saidia tupate angalau wenye akili na uvumilivu. Na JF nzima mseme AMEN
 
Kila jambo Lina faida na hasara zake.

Hizo ni hasara za jambo hilo.

Faida zake pia zipo.
 
Aiseeee ni heri ukae kimya usubiri kudra za Mungu zimwokoe huyo mdingi.
Huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…