Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kwanza tunakua na majina mawili. Pili, Mwaka mmoja kabla ya kustaafu kazi, tunaachana kwanza.Na sisi wa kike unatuambiaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza tunakua na majina mawili. Pili, Mwaka mmoja kabla ya kustaafu kazi, tunaachana kwanza.Na sisi wa kike unatuambiaje
Acha kuhalalisha uboyaMkuu naona unataka kuikimbia laana ya wanaume mtakula kwa jasho mkuu.....hii kauli ni pana sana kila kitu mwanaume anachakula huwa lazima akipatie mahangaiko hata ukioa mkuu na kuhudumia familia unyumba nao kupewa huwa ni kwa uchungu mno na adhabu hii ndio mtu hupewa akishindwa kutimiza wanachokitaka kwa wakati
exactly! Wewe una akili.Mke ni kama mtoto, umleavyo ndivyo akuavyo. Mtoto Kama ukimzoesha Kila siku anayoenda shule unampa pocket money siku ukifeli haendi. Sawa na huyo bwana alishaweka kuwa huo ndio utaratibu wake kwahiyo usifananishe na wake zetu wanaotufanya tuhisi Dunia ya peke yetu
kama hutaki kuoa acha kabisa kuchakata. Sio useme huli nyama bali mchuzi wakendoa utumwa
Chakata mbususu mpya daily
hapa kuna uboya na boya mwenyeweAcha kuhalalisha uboya
Olewa ukiweza kuiba iba kweli kweli kwa mumeo ili afe mapema uweze kurithi Mali.Na sisi wa kike unatuambiaje
Naona hadi huruma, hata kumwambia nashindwa sijui naanza vipi.Aiseeee ni heri ukae kimya usubiri kudra za Mungu zimwokoe huyo mdingi.
Huruma
Huyo ni marehemu mtarajiwa.Naona hadi huruma, hata kumwambia nashindwa sijui naanza vipi.
Alishaandika mpaka barua ya kustaafu alivyoileta ikabidi nimkalishe kikao kwanza Kama namshauri hivi. Akili ikawa imeamka akabadili maamuzi akasepa na barua yake. (Hii ni baada ya kujua ukweli kwanini anataka kuondoka na 55yrs).Huyo ni marehemu mtarajiwa.
Akifika 55yrs akighairi kustaafu sumu au uchawi unamhusu
Kuna wababa pia ni wa binafsiSijui nani kawafundisha roho za kiibilisi.
Ukimwoa single maza utaishi vizuri na mtoto wake, sasa wewe zaa huko nje iwe kabla au baada ya ndoa kisha mlete mtoto kwa mke wako utaona
Wewe ndiye mwokozi pekee wa huyo dingi pamoja na Muumba.Alishaandika mpaka barua ya kustaafu alivyoileta ikabidi nimkalishe kikao kwanza Kama namshauri hivi. Akili ikawa imeamka akabadili maamuzi akasepa na barua yake. (Hii ni baada ya kujua ukweli kwanini anataka kuondoka na 55yrs).
Akaenda kumwambia huyo mama kwamba ofisi imeniomba niendelee mpaka 60yrs. Nashangaa mama ananipiga simu kuniuliza Kama inawezekana mtu kutaka kustaafu na umri flani Ila ofisi ikatia ngumu. Ikabidi niwe upande wa dingi.
Nyie uoni sisi tutawachakata wake zenu na tuleleen watoto wetukama hutaki kuoa acha kabisa kuchakata. Sio useme huli nyama bali mchuzi wake
Ndoa ni utapeli mtupu...ungekuwa karbu ningekupiga makofu maana inaonyesha hushiriki vikaoNdugu Zangu Oeni Hayo Masuala Yapo Na YataendeleA
Tanzania Inahitaji Nguvu Kazi Bila Kuzaa Maana Yake Tutarudi Nyuma Sasa
Acha Upotoshaji!!
Kuoa ni lazima ila ukioa usikubali kuishi ndani na mke kama mwanaume mwenzako. Pia usikubali kuishi katika ndoa nyonyaji .Naleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu.
Baba mmoja mtumishi wa mamlaka moja ya serikali ana kawaida ya kumpa mke sh.300k ya matumizi yake binafsi kama mke kila anapopata mshahara.
Hiyo pesa haina mahusiano na pesa za matumizi ya nyumbani.
Pia kampa fedha mke wake afungue miradi. Mke anaingiza faida ya angalau elfu 30 kila siku.
Mwezi mmoja mambo yaliingiliana, baba akampa mke pesa pungufu, alimpa laki 2 badala ya tatu kama alivyozoea. Uliibuka ugomvi mkubwa sana.
Yaani kazi ufanye wewe, ulishe familia, usomeshe familia, n.k na umpe mke mtaji na laki tatu kila mwezi lakini umefeli mara moja tu unawashiwa moto.
Vijana kataeni ndoa. Mtakufa.
Kisa kingine naona kazi kusimulia ila mwisho wa picha baba mstaafu kaibiwa pesa za mafao na mke wake kisha mke kumwachia nyumba na watoto.
Mzee kabaki na hali ngumu.
Vijana wenye uhakika na maisha msioe.
Mimi nakaa mbali na Mke walau inaleta nafuuNaleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu.