Ukitaka kuishi maisha marefu usioe

Ukitaka kuishi maisha marefu usioe

Mkuu naona unataka kuikimbia laana ya wanaume mtakula kwa jasho mkuu.....hii kauli ni pana sana kila kitu mwanaume anachakula huwa lazima akipatie mahangaiko hata ukioa mkuu na kuhudumia familia unyumba nao kupewa huwa ni kwa uchungu mno na adhabu hii ndio mtu hupewa akishindwa kutimiza wanachokitaka kwa wakati
Acha kuhalalisha uboya
 
Juzi kati bi mkubwa kanivunjia ukimya kaniambia nioe maana nimekaa muda mrefu bila kuoa baada ya kutalakiana na Wife. Ukweli maisha ya usingle Yana Raha sana maana hakuna wa kukuuliza wala kukuchunga. Ndoa ni jera Kwa kweli maana unaishi Ili kumpendeza mtu yaani unafeki maisha pia unakosa uhuru. Nitaoa jua likizama Kwa Sasa nitulie tu maana sioni wife material wengi wadangaji tu.
 
Mke ni kama mtoto, umleavyo ndivyo akuavyo. Mtoto Kama ukimzoesha Kila siku anayoenda shule unampa pocket money siku ukifeli haendi. Sawa na huyo bwana alishaweka kuwa huo ndio utaratibu wake kwahiyo usifananishe na wake zetu wanaotufanya tuhisi Dunia ya peke yetu
exactly! Wewe una akili.
 
Nakushangaa Sana. Utamu wa maisha uwe na wife. Sasa Kama hujaoa, hayo maisha marefu unayataka ya nini?
Acheni akili za kikinga.
 
Huyo ni marehemu mtarajiwa.
Akifika 55yrs akighairi kustaafu sumu au uchawi unamhusu
Alishaandika mpaka barua ya kustaafu alivyoileta ikabidi nimkalishe kikao kwanza Kama namshauri hivi. Akili ikawa imeamka akabadili maamuzi akasepa na barua yake. (Hii ni baada ya kujua ukweli kwanini anataka kuondoka na 55yrs).

Akaenda kumwambia huyo mama kwamba ofisi imeniomba niendelee mpaka 60yrs. Nashangaa mama ananipiga simu kuniuliza Kama inawezekana mtu kutaka kustaafu na umri flani Ila ofisi ikatia ngumu. Ikabidi niwe upande wa dingi.
 
Sijui nani kawafundisha roho za kiibilisi.
Ukimwoa single maza utaishi vizuri na mtoto wake, sasa wewe zaa huko nje iwe kabla au baada ya ndoa kisha mlete mtoto kwa mke wako utaona
Kuna wababa pia ni wa binafsi
 
Alishaandika mpaka barua ya kustaafu alivyoileta ikabidi nimkalishe kikao kwanza Kama namshauri hivi. Akili ikawa imeamka akabadili maamuzi akasepa na barua yake. (Hii ni baada ya kujua ukweli kwanini anataka kuondoka na 55yrs).

Akaenda kumwambia huyo mama kwamba ofisi imeniomba niendelee mpaka 60yrs. Nashangaa mama ananipiga simu kuniuliza Kama inawezekana mtu kutaka kustaafu na umri flani Ila ofisi ikatia ngumu. Ikabidi niwe upande wa dingi.
Wewe ndiye mwokozi pekee wa huyo dingi pamoja na Muumba.
Huyo mama anamweka kwenye kilengeo daily
 
Ndugu Zangu Oeni Hayo Masuala Yapo Na YataendeleA
Tanzania Inahitaji Nguvu Kazi Bila Kuzaa Maana Yake Tutarudi Nyuma Sasa
Acha Upotoshaji!!
Ndoa ni utapeli mtupu...ungekuwa karbu ningekupiga makofu maana inaonyesha hushiriki vikao
 
Naleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu.
Baba mmoja mtumishi wa mamlaka moja ya serikali ana kawaida ya kumpa mke sh.300k ya matumizi yake binafsi kama mke kila anapopata mshahara.
Hiyo pesa haina mahusiano na pesa za matumizi ya nyumbani.
Pia kampa fedha mke wake afungue miradi. Mke anaingiza faida ya angalau elfu 30 kila siku.
Mwezi mmoja mambo yaliingiliana, baba akampa mke pesa pungufu, alimpa laki 2 badala ya tatu kama alivyozoea. Uliibuka ugomvi mkubwa sana.
Yaani kazi ufanye wewe, ulishe familia, usomeshe familia, n.k na umpe mke mtaji na laki tatu kila mwezi lakini umefeli mara moja tu unawashiwa moto.
Vijana kataeni ndoa. Mtakufa.
Kisa kingine naona kazi kusimulia ila mwisho wa picha baba mstaafu kaibiwa pesa za mafao na mke wake kisha mke kumwachia nyumba na watoto.
Mzee kabaki na hali ngumu.
Vijana wenye uhakika na maisha msioe.
Kuoa ni lazima ila ukioa usikubali kuishi ndani na mke kama mwanaume mwenzako. Pia usikubali kuishi katika ndoa nyonyaji .
Mke ukishamkosea .tangu mwanzo mwa ndoa huko mbeleni huwezi kubadilisha mfumo. Weka taratibu mapema akitaka kuwa mke kama hataki mwachex.apema asepe. Watu tuna zaidi ya miaka 25 kwenye ndoa na bado wake zetu wanatii kila tunachosema hata kama hawakipendi sababu tangu mwanzo tuliweka msimamo kwa kila jambo. Mke inatakiwa umtawale sio akutawale.
 
Naleta kisa kimoja au viwili kutetea uzi wangu.
Baba mmoja mtumishi wa mamlaka moja ya serikali ana kawaida ya kumpa mke sh.300k ya matumizi yake binafsi kama mke kila anapopata mshahara.
Hiyo pesa haina mahusiano na pesa za matumizi ya nyumbani.
Pia kampa fedha mke wake afungue miradi. Mke anaingiza faida ya angalau elfu 30 kila siku.
Mwezi mmoja mambo yaliingiliana, baba akampa mke pesa pungufu, alimpa laki 2 badala ya tatu kama alivyozoea. Uliibuka ugomvi mkubwa sana.
Yaani kazi ufanye wewe, ulishe familia, usomeshe familia, n.k na umpe mke mtaji na laki tatu kila mwezi lakini umefeli mara moja tu unawashiwa moto.
Vijana kataeni ndoa. Mtakufa.
Kisa kingine naona kazi kusimulia ila mwisho wa picha baba mstaafu kaibiwa pesa za mafao na mke wake kisha mke kumwachia nyumba na watoto.
Mzee kabaki na hali ngumu.
Vijana wenye uhakika na maisha msioe.
Mimi nakaa mbali na Mke walau inaleta nafuu
 
Back
Top Bottom