Ukitaka Kuishi Tanzania kwa Aman Fanya yafuatayo

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,994
Reaction score
4,446
1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache wakitumie siku wakikichoka watakurudishia wenyewe
2;Ungana na watesi wako ata kama moyo wako unavuja Damu
3; hakikisha unakuwa mjinga ata kama una kiwango Cha juu Cha uelewa
4; mwisho , subiri miujiza ya wagalatia siku ya unyakuo.
 
umekula?
 
Acha kulishaa watu uogaa wa kifalaaa ww ,,bac nikijaa hapo nijee nikushikee takoo ukae kmyaaa na usinifanyee chcht
downloadfile-4.jpg
 
1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache
Hu-siende ❌
U-siende✔️
wewe utakua mhaya wala sioni ajabu TUKUTANE OKTOBA NO REFORM NO ELECTION
 
Back
Top Bottom