Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
Yani Lowassa leo kashambuliwa na Makongoro wazi wazi. Lowasa kawekea machinery ya maana kummaliza.
UKAWA Mwaka huu hadi Magogoni.
UKAWA Mwaka huu hadi Magogoni.
Huo ni ushamba wako, Marekani George Bushi,George Bush(mtoto) na mwanae mwingne John Bush(JEB) anaenda kumrithi Obama.Kenyata,Karume,Clinton mkewe yuko njiani,Megawat,Chandılika n.k.Km anaweza haina tatızo mana naye ana haki sawa na mimi na wewe.
bahi naskia umewashawishi wasijiandikishe kwenye daftar la kudum la wapga kura,ni kwel?
Ccm siyo ya babaake., asidhani hii ni nchi ya kifalme., hawezi kuwa rais wa nchi hii huyu. Tena kwa kutumia jina la babake ndo anakosea kbs