Ukitaka kujua ajenda ya CCM dhidi ya Lowassa angalia taarifa za habari za TBC1 hasa ya Makongoro Leo

Ukitaka kujua ajenda ya CCM dhidi ya Lowassa angalia taarifa za habari za TBC1 hasa ya Makongoro Leo

bahi naskia umewashawishi wasijiandikishe kwenye daftar la kudum la wapga kura,ni kwel?
 
Ccm siyo ya babaake., asidhani hii ni nchi ya kifalme., hawezi kuwa rais wa nchi hii huyu. Tena kwa kutumia jina la babake ndo anakosea kbs
 
Huo ni ushamba wako, Marekani George Bushi,George Bush(mtoto) na mwanae mwingne John Bush(JEB) anaenda kumrithi Obama.Kenyata,Karume,Clinton mkewe yuko njiani,Megawat,Chandılika n.k.Km anaweza haina tatızo mana naye ana haki sawa na mimi na wewe.
 
Hata mi huwa sipendi ubaguzi wa namna hii,kama mtu anauwezo apewe kama hana anyimwe kinachohhtajika ni uwezo wa mtu.
 
Team Lowassa siwalisema kuwa Lowassa ana ungwa mkono na familia ya Nyerere wakiongozwa na Maria,imekuwaje leo waanze kumshambulia tena?.
 
Ccm siyo ya babaake., asidhani hii ni nchi ya kifalme., hawezi kuwa rais wa nchi hii huyu. Tena kwa kutumia jina la babake ndo anakosea kbs

Hivi ccm wooote kwa miaka yooote hakuna mtu mwenye uwezo wa busara na akili mpaka muweke reference yenu kwa mtu aliyekwisha RIP? Kwahiyo mlioko hai wote ni mizigo tu kichwani? Ndio maana jamaa anasema chama cha babaake. Mtamwambia nini Masele?
 
Hilo chama limeshatekwa na mafisadi, wenye Akili wanauona ulazima wa kuirudisha ccm kwa wakulima na wafanyakazi.
 
Ikulu siyo maabara...! We need someone who is able to live in meritocracy sphere, pragmatism, and zero corruption sphere. Only few, their lives are compatible with these sphere!
 
ukweli utabaki pale ccm lowasa atawatesa sana. mwaka huu. mnalo hlo.
 
Wana CCM wanajua Lowasa akoshapita CC tu basi Uraisi wake, hata UKAWA wanajua hilo. Na wanajua akiingia basi wale wote, wote wale waliokuwa wakomfanyia uhuni lazima waadabishwe
 
Nakumbuka mara ya mwisho nilikutana na wewe butiama nikiwa na yule mkurugezi wa makumbusho ya baba yako ambaye ni mwanakorogwe! Niliwaona nyani tu kwenye miti na kaburi la mwl.na nikasaini kitabu! Karibu ukawa!
 
Back
Top Bottom