Ndo maana chuma JPM alikua anawatumbua mabalozi kila sikuuuili swala sio utani wala uongo.
Balozi zetu ziangaliwe kwa jicho la tatu na sijui kama ni kimbilio la wengi pale wanapo pata tatizo wakasaidiwa.
mara nyingi watu waliopo nje utengeneza vikundi au umoja ili kusaidia ukilinganisha na nchi zengine ambazo hayo mambo sijui makundi sijui umoja ndio wakusaidie.
serekali inapaswa kurudia upya kuangalia utendaji wa balozi ili kujua majukumu yake ni yapi.
Kuwa na balozi nchi fulani kuna saidia ujasusi wa kiuchumi,ujasusi wa kisiasa,maendeleo yaliyoko kule,ajira na fursa na n.k
lakini haya hata siku moja balozi zetu uwezi kuzisikia na mpaka mtu anamaliza mda wa ubalozi wake hata siku moja ujawahi kuona kagusia kwa taifa lake.
View attachment 2142907
Namshauri Rais achukue vijana waliosomea waliosomea hawawezi kufanya upuuzi, na waache kuifanya anga za kimataifa kuficha walioshindikana nyumbnili swala sio utani wala uongo.
Balozi zetu ziangaliwe kwa jicho la tatu na sijui kama ni kimbilio la wengi pale wanapo pata tatizo wakasaidiwa.
Mara nyingi watu waliopo nje utengeneza vikundi au umoja ili kusaidia ukilinganisha na nchi zengine ambazo hayo mambo sijui makundi sijui umoja ndio wakusaidie.
SerIkali inapaswa kurudia upya kuangalia utendaji wa balozi ili kujua majukumu yake ni yapi.
Kuwa na Balozi nchi fulani kuna saidia ujasusi wa kiuchumi, ujasusi wa kisiasa, maendeleo yaliyoko kule, ajira na fursa na n.k
lakini haya hata siku moja balozi zetu uwezi kuzisikia na mpaka mtu anamaliza mda wa ubalozi wake hata siku moja ujawahi kuona kagusia kwa taifa lake.
View attachment 2142907
Unaharibu Uzi sasaNdo maana chuma JPM alikua anawatumbua mabalozi kila sikuuu
ili swala sio utani wala uongo.
Balozi zetu ziangaliwe kwa jicho la tatu na sijui kama ni kimbilio la wengi pale wanapo pata tatizo wakasaidiwa.
Mara nyingi watu waliopo nje utengeneza vikundi au umoja ili kusaidia ukilinganisha na nchi zengine ambazo hayo mambo sijui makundi sijui umoja ndio wakusaidie.
SerIkali inapaswa kurudia upya kuangalia utendaji wa balozi ili kujua majukumu yake ni yapi.
Kuwa na Balozi nchi fulani kuna saidia ujasusi wa kiuchumi, ujasusi wa kisiasa, maendeleo yaliyoko kule, ajira na fursa na n.k
lakini haya hata siku moja balozi zetu uwezi kuzisikia na mpaka mtu anamaliza mda wa ubalozi wake hata siku moja ujawahi kuona kagusia kwa taifa lake.
View attachment 2142907
Jukumu pekee wanaloliweza nikupokea viongozi wa kitaifa bhaaaasBalozi za Tanzania Burundi mume wake ni mlevi wa kupindukia.
Tukiwa Burundi tulipata tatizo ukimpigia balozi simu anapikea mume wake na Muda huo mume kapewa chakari.
Kwa nchi yetu 'ubalozi' umegeuka kama wadhifa wa zawadi tu au kuwaweka watu fulani mbali na siasa za ndani.Jukumu pekee wanaloliweza nikupokea viongozi wa kitaifa bhaaaas
Sababu wanapelekwa watu wasio na vigezo.Impact ya balozi za Tanzania kiukweli ni ndogo sana yaani nikama wapo wapo tu honeymoon kwenye hizo nchi