Ukitaka kujua Balozi za Tanzania ni za ovyo, siku safiri nje upate tatizo

Ukitaka kujua Balozi za Tanzania ni za ovyo, siku safiri nje upate tatizo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
ili swala sio utani wala uongo.

Balozi zetu ziangaliwe kwa jicho la tatu na sijui kama ni kimbilio la wengi pale wanapo pata tatizo wakasaidiwa.

Mara nyingi watu waliopo nje utengeneza vikundi au umoja ili kusaidia ukilinganisha na nchi zengine ambazo hayo mambo sijui makundi sijui umoja ndio wakusaidie.

SerIkali inapaswa kurudia upya kuangalia utendaji wa balozi ili kujua majukumu yake ni yapi.

Kuwa na Balozi nchi fulani kuna saidia ujasusi wa kiuchumi, ujasusi wa kisiasa, maendeleo yaliyoko kule, ajira na fursa na n.k
lakini haya hata siku moja balozi zetu uwezi kuzisikia na mpaka mtu anamaliza mda wa ubalozi wake hata siku moja ujawahi kuona kagusia kwa taifa lake.

IMG_5304.jpg
 
Chizcom Umeongea kitu cha maana sana .Wabunge wetu walivyokuwa majahil haya ndio mambo ya kuyaongelea bungeni lkn utakuta wanaongelea mambo ya bongo fleva utasema hawa wabunge hawana akili au hawakusoma dah inatia haasira sana.
 
Alikuwa wizara flani, wananchi wakamkataa kwenye uchaguzi maana HAJAWASAIDIA CHOCHOTE kwenye ubunge wake ila si bado ana kaumuhimu kwenye chama, tumpe ubalozi wa nchi flani muhimu maana hatoshi kwenye vile viti vya kuteuliwa

Huyo ndio balozi wetu kwenye nchi muhimu kwa uchumi wetu, ubalozi wa favour, unategemea nini?

Tatizo linaanza kwenye teuzi
 
Tanzania haina balozi kila nchi kama wenzetu but still waliweza kufanya zaidi. Kuna corridors, ambazo kwa makubaliano, watu wanaruhusiwa kupita kwenda nchi ambo iko safe. Lkn urusi sometimes wanapiga mabomu mbali na makubaliano. Nafikiri, kwakuwa wengi wa wanafunzi wako MPAKANI na urusi, badala ya kuwapitisha kama wengine, balozi urusi, ange organize, wapitie urusi, under escort to airport kwenda makwao
 
ili swala sio utani wala uongo.
Balozi zetu ziangaliwe kwa jicho la tatu na sijui kama ni kimbilio la wengi pale wanapo pata tatizo wakasaidiwa.

mara nyingi watu waliopo nje utengeneza vikundi au umoja ili kusaidia ukilinganisha na nchi zengine ambazo hayo mambo sijui makundi sijui umoja ndio wakusaidie.

serekali inapaswa kurudia upya kuangalia utendaji wa balozi ili kujua majukumu yake ni yapi.

Kuwa na balozi nchi fulani kuna saidia ujasusi wa kiuchumi,ujasusi wa kisiasa,maendeleo yaliyoko kule,ajira na fursa na n.k

lakini haya hata siku moja balozi zetu uwezi kuzisikia na mpaka mtu anamaliza mda wa ubalozi wake hata siku moja ujawahi kuona kagusia kwa taifa lake.

View attachment 2142907
Ndo maana chuma JPM alikua anawatumbua mabalozi kila sikuuu
 
Pesa wanafaidi wachache huko ubalozin
 
ili swala sio utani wala uongo.

Balozi zetu ziangaliwe kwa jicho la tatu na sijui kama ni kimbilio la wengi pale wanapo pata tatizo wakasaidiwa.

Mara nyingi watu waliopo nje utengeneza vikundi au umoja ili kusaidia ukilinganisha na nchi zengine ambazo hayo mambo sijui makundi sijui umoja ndio wakusaidie.

SerIkali inapaswa kurudia upya kuangalia utendaji wa balozi ili kujua majukumu yake ni yapi.

Kuwa na Balozi nchi fulani kuna saidia ujasusi wa kiuchumi, ujasusi wa kisiasa, maendeleo yaliyoko kule, ajira na fursa na n.k
lakini haya hata siku moja balozi zetu uwezi kuzisikia na mpaka mtu anamaliza mda wa ubalozi wake hata siku moja ujawahi kuona kagusia kwa taifa lake.

View attachment 2142907
Namshauri Rais achukue vijana waliosomea waliosomea hawawezi kufanya upuuzi, na waache kuifanya anga za kimataifa kuficha walioshindikana nyumbn
 
Wanaoteuliwa kuwa mabalozi ni wanaccm walioshindwa hata chaguzi,wenye vyeti vya ujanja ujanja hata lugha ya malikia hawaijui kabisa mradi alimsifia ,fikiri Nchimbi eti ni balozi,pole pole ni baloz !?? Hatari sana CCM imeharibu sana hii nchi
 
ili swala sio utani wala uongo.

Balozi zetu ziangaliwe kwa jicho la tatu na sijui kama ni kimbilio la wengi pale wanapo pata tatizo wakasaidiwa.

Mara nyingi watu waliopo nje utengeneza vikundi au umoja ili kusaidia ukilinganisha na nchi zengine ambazo hayo mambo sijui makundi sijui umoja ndio wakusaidie.

SerIkali inapaswa kurudia upya kuangalia utendaji wa balozi ili kujua majukumu yake ni yapi.

Kuwa na Balozi nchi fulani kuna saidia ujasusi wa kiuchumi, ujasusi wa kisiasa, maendeleo yaliyoko kule, ajira na fursa na n.k
lakini haya hata siku moja balozi zetu uwezi kuzisikia na mpaka mtu anamaliza mda wa ubalozi wake hata siku moja ujawahi kuona kagusia kwa taifa lake.

View attachment 2142907

Balozi za Tanzania Burundi mume wake ni mlevi wa kupindukia.​

Tukiwa Burundi tulipata tatizo ukimpigia balozi simu anapikea mume wake na Muda huo mume kalewa chakari.​

 

Balozi za Tanzania Burundi mume wake ni mlevi wa kupindukia.​

Tukiwa Burundi tulipata tatizo ukimpigia balozi simu anapikea mume wake na Muda huo mume kapewa chakari.​

Jukumu pekee wanaloliweza nikupokea viongozi wa kitaifa bhaaaas
 
Impact ya balozi za Tanzania kiukweli ni ndogo sana yaani nikama wapo wapo tu honeymoon kwenye hizo nchi
Sababu wanapelekwa watu wasio na vigezo.
Mtu akiharibu huku ndani anazawadiwa ubalozi.
Kama mtu ni very vocal hapa nchini ananyamazishwa kwa kupewa ubalozi.
No career diplomats in our embassies.
 
Mtanzania akipata tatizo katika nchi za nje zenye ubalozi, usitegemee msaada hata kidogo, hizi balozi ni mzigo sana kwa nchi, maana wangefanya vizuri ungekuta wawekezaji na watalii wamekuja wa kutosha. Mh. Rais inabidi akae bao chini hawa mabalozi, awaambie wazi wazi atafukuza balozi na maafisa wasio na impact katika nchi yetu, wao wanafikiri wameenda kula raha na kupakia Mercedes benz tu, hawana msaada kabisa kwa mtanzania huko nje, wangejua Mh. Rais anavyopambana huku, wao wako tu, no impact kabisa.
 
Nchi itabaki kuwa masikini miaka yote
Viongozi wasiojielewa
Balozi hajui hata majukumu yake eti aanze kujifunza kazi

Mwisho wake wanashindwa hata kumhudumia mtu ambae labda anataka kurudi nyumbani
Hawaelewi kuwa wao wwnatuwakilisha nje kama Raisi

Wanakula tu na kulala
Nani anahangaika hata kwenda balozi zao
 
Back
Top Bottom