Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Nyumbu akishakula nyasi na kunywa maji, kinachofuata ni kujinyea tu. Nicho unachokiwezaKahamie huko we bwege, usilinganishe great nation na vt vya ajabu
dah,Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo
1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia kwa muda mrefu kwani haliishi haraka na nter net ni ya kasi. Tanzania kwa elfu moja unapata Mb450-490 na zinaisha haraka sana. Zambia hamna muda wa bando kuisha muda wake ni mpaka utakapolitumia lakini Tanzania bando lina muda wa kuisha hata kama hujalitumia!. Viongozi wa ccm kila siku wanafanya ziara kwenye hizo nchi lakini wanajifanya hawaoni na hamna walichojifunza ili waendelee kuwaibia watanzania.
2. Sukari ya Zambia ni original, ukiweka kijiko kimoja kwenye kikombe cha chai inatosha kabisa lakini sukari ya Tanzania ni mpaka ujaze rundo la vijiko ili kikombe cha chai kikolee. Viongozi wanaotokana na ccm wanajua lakini wako kimya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. Ukinunua kiatu kutoka kwenye kiwanda cha Zambia utavaa mpaka sole itaisha hakichaniki, ila kiatu kutoka Tanzania ni mwezi mmoja tu kimeshachakaa, na viongozi wanajua lakini wako kimyaa.
4. Ni Tanzania tu ambayo unakuta bidhaa inzalishwa na kiwanda cha ndani lakini viongozi wanaagiza bidhaa hiyo hiyo kutoka nje ya nchi
Tafuta Hela kuna viatu vinatengenezwa kiwanda chetu Cha magereza moshi hapo utavaa wewe na wajukuu lakini uwe tayari kutoa 150,000 kuendelea .Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo
1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia kwa muda mrefu kwani haliishi haraka na nter net ni ya kasi. Tanzania kwa elfu moja unapata Mb450-490 na zinaisha haraka sana. Zambia hamna muda wa bando kuisha muda wake ni mpaka utakapolitumia lakini Tanzania bando lina muda wa kuisha hata kama hujalitumia!. Viongozi wa ccm kila siku wanafanya ziara kwenye hizo nchi lakini wanajifanya hawaoni na hamna walichojifunza ili waendelee kuwaibia watanzania.
2. Sukari ya Zambia ni original, ukiweka kijiko kimoja kwenye kikombe cha chai inatosha kabisa lakini sukari ya Tanzania ni mpaka ujaze rundo la vijiko ili kikombe cha chai kikolee. Viongozi wanaotokana na ccm wanajua lakini wako kimya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. Ukinunua kiatu kutoka kwenye kiwanda cha Zambia utavaa mpaka sole itaisha hakichaniki, ila kiatu kutoka Tanzania ni mwezi mmoja tu kimeshachakaa, na viongozi wanajua lakini wako kimyaa.
4. Ni Tanzania tu ambayo unakuta bidhaa inzalishwa na kiwanda cha ndani lakini viongozi wanaagiza bidhaa hiyo hiyo kutoka nje ya nchi
Great my ***, great based on what man?Kahamie huko we bwege, usilinganishe great nation na vt vya ajabu
DuhGreat my ***, great based on what man?
Kwa nini bei iwe kubwa hivyo? Mbona Zambia bei nafuu sanaaTafuta Hela kuna viatu vinatengenezwa kiwanda chetu Cha magereza moshi hapo utavaa wewe na wajukuu lakini uwe tayari kutoa 150,000 kuendelea .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siipendi CCM
Ila Nilitaka Nione Nchi Yakulinganisha Na Tanzania kumbe Zambia
Au Kuna Zambia 2 nisubirie Nyingine.
Vipi umeangalia na umasikini wa Zambia?Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo
1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia kwa muda mrefu kwani haliishi haraka na nter net ni ya kasi. Tanzania kwa elfu moja unapata Mb450-490 na zinaisha haraka sana. Zambia hamna muda wa bando kuisha muda wake ni mpaka utakapolitumia lakini Tanzania bando lina muda wa kuisha hata kama hujalitumia!. Viongozi wa ccm kila siku wanafanya ziara kwenye hizo nchi lakini wanajifanya hawaoni na hamna walichojifunza ili waendelee kuwaibia watanzania.
2. Sukari ya Zambia ni original, ukiweka kijiko kimoja kwenye kikombe cha chai inatosha kabisa lakini sukari ya Tanzania ni mpaka ujaze rundo la vijiko ili kikombe cha chai kikolee. Viongozi wanaotokana na ccm wanajua lakini wako kimya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. Ukinunua kiatu kutoka kwenye kiwanda cha Zambia utavaa mpaka sole itaisha hakichaniki, ila kiatu kutoka Tanzania ni mwezi mmoja tu kimeshachakaa, na viongozi wanajua lakini wako kimyaa.
4. Ni Tanzania tu ambayo unakuta bidhaa inzalishwa na kiwanda cha ndani lakini viongozi wanaagiza bidhaa hiyo hiyo kutoka nje ya nchi
Fungua thread yakuzungumzia hayo na weweVipi umeangalia na umasikini wa Zambia?
Huyo ni mwenzako, tofauti zenu ni kwamba yeye anateteaga legacy hewani wewe ni chawa wa awamu ya sita. Hamtofautiani.dah,
kwasabab viatu vya Zambia havichaniki unapachukia hadi kwenu gentleman, dah!
ama kweli mjinga akierevuka na maskini akipata matrako hulia mbwata 🐒
Hatuchukii kwetu ila viongozi wetu wanaotunyonya bila huruma.dah,
kwasabab viatu vya Zambia havichaniki unapachukia hadi kwenu gentleman, dah!
ama kweli mjinga akierevuka na maskini akipata matrako hulia mbwata 🐒
huenda unanyonywa pekeyako gentleman,Hatuchukii kwetu ila viongozi wetu wanaotunyonya bila huruma.
infact,Huyo ni mwenzako, tofauti zenu ni kwamba yeye anateteaga legacy hewani wewe ni chawa wa awamu ya sita. Hamtofautiani.
Aqo adosi! Yamma khoro aqo himbetoinfact,
kama mTanzania,
kutofautiana maoni na mtazamo kuhusu jambo fulani sio jinai,
na binafsi yangu,
tunaweza kutofautiana but tuakaendelea kua familia na team moja kama waTanzania na tukasonga mbele pamoja kwenye mambo mengine,
so,
hakuna tatizo wala ubaya wowo gentleman
MhHuyo ni mwenzako, tofauti zenu ni kwamba yeye anateteaga legacy hewani wewe ni chawa wa awamu ya sita. Hamtofautiani.