Hawa jamaa ni vichwa wazi,Ukitaka kuelewa anachoongea mtoa mada kweli nenda nchi za nje ,Mimi nipo india aiseee utapenda jinsi serikali na wanachi wa India walivyojenga uchumi wao ,nikwamba pesa ya India mpaka shilingi Moja yaani Moja unatumika vizuri yaani wanathamini pesa Yako kuliko chochote .Pesa Yako mwisho 500 hakuna juu ya hiyo na inathaman pia njoo kwenye magari yaani ni imara viwanda vipo hapa hapa maenginia wa nijengo hapa hapa hakuna mchina yaani smart than anything.Sasa njoo kwetu ardhi ya mbambadu yaani kila mtu anaangaika kujitapa kwamba anapesa yaani ujinga mtupu, sijui Simba mara tanga,karia mala tff yaani upumbavu sijui chief godlove yaani mambo ya msingi hata hatufatilii ni upuuzi tupu jinga