Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
- Thread starter
- #21
InasikitishaHatuchukii kwetu ila viongozi wetu wanaotunyonya bila huruma.
InasikitishaHatuchukii kwetu ila viongozi wetu wanaotunyonya bila huruma.
Akiona mtu anatukana ovyo jua kichwani pana shidaKahamie huko we bwege, usilinganishe great nation na vt vya ajabu
Wewe ni mjinga Sana ,hufai hata Bure.Huna maana kabisa wewe na nasema hivi ulaaniwe mwizi wa mali za watanzania . Honestly nawachukia sana watu kama nyie mnaobadilisha mada nzuri kutoka kwa mtoa mada na kuiweka tofauti na alivyotaka kumaanisha ili tu wizi wenu na dhamira zenu zitimie pumbavudah,
kwasabab viatu vya Zambia havichaniki unapachukia hadi kwenu gentleman, dah!
ama kweli mjinga akierevuka na maskini akipata matrako hulia mbwata 🐒
Akina Sabaya walikuwa na jeuri zaidi yako uliyeko nyuma ya keyboardKahamie huko we bwege, usilinganishe great nation na vt vya ajabu
😅😅😅Umesahau ushuru wa magari, Zambia million 2 na hilo gari linapitia bandari ya Tanzania..!!
Hapo kwenye bando uko sawa, bando la wiki unajiunga kila sikuUkitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani tembelea nchi zingine na wala usiende mbali, nenda tu hapo Zambia utajifunza yafuatayo
1. Bando la elfu moja Zambia ni Gb 1 na utatumia kwa muda mrefu kwani haliishi haraka na nter net ni ya kasi. Tanzania kwa elfu moja unapata Mb450-490 na zinaisha haraka sana. Zambia hamna muda wa bando kuisha muda wake ni mpaka utakapolitumia lakini Tanzania bando lina muda wa kuisha hata kama hujalitumia!. Viongozi wa ccm kila siku wanafanya ziara kwenye hizo nchi lakini wanajifanya hawaoni na hamna walichojifunza ili waendelee kuwaibia watanzania.
2. Sukari ya Zambia ni original, ukiweka kijiko kimoja kwenye kikombe cha chai inatosha kabisa lakini sukari ya Tanzania ni mpaka ujaze rundo la vijiko ili kikombe cha chai kikolee. Viongozi wanaotokana na ccm wanajua lakini wako kimya.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. Ukinunua kiatu kutoka kwenye kiwanda cha Zambia utavaa mpaka sole itaisha hakichaniki, ila kiatu kutoka Tanzania ni mwezi mmoja tu kimeshachakaa, na viongozi wanajua lakini wako kimyaa.
4. Ni Tanzania tu ambayo unakuta bidhaa inzalishwa na kiwanda cha ndani lakini viongozi wanaagiza bidhaa hiyo hiyo kutoka nje ya nchi
😅😅😅Nyumbu akishakula nyasi na kunywa maji, kinachofuata ni kujinyea tu. Nicho unachokiweza
Hawa jamaa ni vichwa wazi,Ukitaka kuelewa anachoongea mtoa mada kweli nenda nchi za nje ,Mimi nipo india aiseee utapenda jinsi serikali na wanachi wa India walivyojenga uchumi wao ,nikwamba pesa ya India mpaka shilingi Moja yaani Moja unatumika vizuri yaani wanathamini pesa Yako kuliko chochote .Pesa Yako mwisho 500 hakuna juu ya hiyo na inathaman pia njoo kwenye magari yaani ni imara viwanda vipo hapa hapa maenginia wa nijengo hapa hapa hakuna mchina yaani smart than anything.Sasa njoo kwetu ardhi ya mbambadu yaani kila mtu anaangaika kujitapa kwamba anapesa yaani ujinga mtupu, sijui Simba mara tanga,karia mala tff yaani upumbavu sijui chief godlove yaani mambo ya msingi hata hatufatilii ni upuuzi tupu jingaUmesahau ushuru wa magari, Zambia million 2 na hilo gari linapitia bandari ya Tanzania..!!
Huzuni, kuna mmoja alileta uzi anasema km Yanga hawatasikilizwa basi hawampigii kura mama Samia.!!Hawa jamaa ni vichwa wazi,Ukitaka kuelewa anachoongea mtoa mada kweli nenda nchi za nje ,Mimi nipo india aiseee utapenda jinsi serikali na wanachi wa India walivyojenga uchumi wao ,nikwamba pesa ya India mpaka shilingi Moja yaani Moja unatumika vizuri yaani wanathamini pesa Yako kuliko chochote .Pesa Yako mwisho 500 hakuna juu ya hiyo na inathaman pia njoo kwenye magari yaani ni imara viwanda vipo hapa hapa maenginia wa nijengo hapa hapa hakuna mchina yaani smart than anything.Sasa njoo kwetu ardhi ya mbambadu yaani kila mtu anaangaika kujitapa kwamba anapesa yaani ujinga mtupu, sijui Simba mara tanga,karia mala tff yaani upumbavu sijui chief godlove yaani mambo ya msingi hata hatufatilii ni upuuzi tupu jinga
Wanauza bidhaa za Tanzania au bidhaa za China zinazouzwa na watanzania??Mleta mada akili huna yaani maendeleo ya nchi unaangalia,viatu,bei za Mb za internet,viatu na sukari aisee una kichwa kibovu
Nadhani wewe ndio mshamba kuisikia Zambia.
Nenda soko la Saddc hapo Lusaka wafanyabiashara waliojazana hapo ni watanzania wakiuza bidhaa za Tanzania
Mfano ni mazaoWanauza bidhaa za Tanzania au bidhaa za China zinazouzwa na watanzania??
Hebu taja bidhaa zinazouzwa hapo Lusaka ambazo zinazalishwa Tanzania mkuu.
Tunaibiwa mnooUmesahau ushuru wa magari, Zambia million 2 na hilo gari linapitia bandari ya Tanzania..!!
Mleta mada akili huna yaani maendeleo ya nchi unaangalia,viatu,bei za Mb za internet,viatu na sukari aisee una kichwa kibovu
Nadhani wewe ndio mshamba kuisikia Zambia.
Nenda soko la Saddc hapo Lusaka wafanyabiashara waliojazana hapo ni watanzania wakiuza bidhaa za
Walaji watakula nini kama wewe huzalishi Kwa ajili yaoHatuchukii kwetu ila viongozi wetu wanaotunyonya bila huruma.
MmhWalaji watakula nini kama wewe huzalishi Kwa ajili yao
Sana, sema hatuna cha kufanya dadeq..!!Tunaibiwa mnoo