PreGE2025 Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani, tembelea nchi nyingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
dah,
kwasabab viatu vya Zambia havichaniki unapachukia hadi kwenu gentleman, dah!

ama kweli mjinga akierevuka na maskini akipata matrako hulia mbwata 🐒
Wewe ni mjinga Sana ,hufai hata Bure.Huna maana kabisa wewe na nasema hivi ulaaniwe mwizi wa mali za watanzania . Honestly nawachukia sana watu kama nyie mnaobadilisha mada nzuri kutoka kwa mtoa mada na kuiweka tofauti na alivyotaka kumaanisha ili tu wizi wenu na dhamira zenu zitimie pumbavu
 
Hapo kwenye bando uko sawa, bando la wiki unajiunga kila siku
 
Umesahau ushuru wa magari, Zambia million 2 na hilo gari linapitia bandari ya Tanzania..!!
Hawa jamaa ni vichwa wazi,Ukitaka kuelewa anachoongea mtoa mada kweli nenda nchi za nje ,Mimi nipo india aiseee utapenda jinsi serikali na wanachi wa India walivyojenga uchumi wao ,nikwamba pesa ya India mpaka shilingi Moja yaani Moja unatumika vizuri yaani wanathamini pesa Yako kuliko chochote .Pesa Yako mwisho 500 hakuna juu ya hiyo na inathaman pia njoo kwenye magari yaani ni imara viwanda vipo hapa hapa maenginia wa nijengo hapa hapa hakuna mchina yaani smart than anything.Sasa njoo kwetu ardhi ya mbambadu yaani kila mtu anaangaika kujitapa kwamba anapesa yaani ujinga mtupu, sijui Simba mara tanga,karia mala tff yaani upumbavu sijui chief godlove yaani mambo ya msingi hata hatufatilii ni upuuzi tupu jinga
 
Mleta mada akili huna yaani maendeleo ya nchi unaangalia,viatu,bei za Mb za internet,viatu na sukari aisee una kichwa kibovu

Nadhani wewe ndio mshamba kuisikia Zambia.

Nenda soko la Saddc hapo Lusaka wafanyabiashara waliojazana hapo ni watanzania wakiuza bidhaa za Tanzania
 
Huzuni, kuna mmoja alileta uzi anasema km Yanga hawatasikilizwa basi hawampigii kura mama Samia.!!

Yani kupiga kura anailetea ushabiki wa mpira? 😥
 
Wanauza bidhaa za Tanzania au bidhaa za China zinazouzwa na watanzania??

Hebu taja bidhaa zinazouzwa hapo Lusaka ambazo zinazalishwa Tanzania mkuu.
 
Wanauza bidhaa za Tanzania au bidhaa za China zinazouzwa na watanzania??

Hebu taja bidhaa zinazouzwa hapo Lusaka ambazo zinazalishwa Tanzania mkuu.
Mfano ni mazao

Mazao mengi yanazalishwa Tanzania huuzwa na wafanyabiashara wa Tanzania ambao tayari wana vizimba soko.la Saddc
Miaka kibao kuanzoa ndizi,michele nk wame dominate watanzania
 

Huna akili
 
Walaji watakula nini kama wewe huzalishi Kwa ajili yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…