PreGE2025 Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani, tembelea nchi nyingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umeshiba makande unaanza kuongea uhalo. Hakuna nchi bora kama Tanzania kusini mwa jangwa la Sahara. Huna tofauti na Lissu anayezunguka nchi nzima akihutubia halafu analalamika hakuna demokrasia.
 
Nchi ya ajabu sana,angalia cement ilivyo bei juu wakati ukiagiza toka nje mpk inaingia sokoni pamoja na kodi,bei iko chini zaidi ya saruji ya ndani
 
Mfano ni mazao

Mazao mengi yanazalishwa Tanzania huuzwa na wafanyabiashara wa Tanzania ambao tayari wana vizimba soko.la Saddc
Miaka kibao kuanzoa ndizi,michele nk wame dominate watanzania
Sasa mazao ndio ya kutamba nayo? Tena mchele 😹😹

Sasa unajua ushuru unaolipwa pale custom ukiwa na mzigo wa dagaa au samaki wa dollar 2000?

Na unajua ushuru wa custom ya Zambia ukiwa na soya za dollar 30,000??
 
Na kitakachotupoteza kabisa, ni uongozi wa juu tulionao sasa. Wazee, yaani Nchi inajiendea tu saiv. Dereva wetu mwenyewe haelewi tunaelekea wapi. Hajui yani.
 
CCM DAIMA SAMIA MITANO
 
Waganga njaa ndio wamejaa kwenye madaraka
 
Na kitakachotupoteza kabisa, ni uongozi wa juu tulionao sasa. Wazee, yaani Nchi inajiendea tu saiv. Dereva wetu mwenyewe haelewi tunaelekea wapi. Hajui yani.
Acha ujuha ingekuwa kama unavyosema hii nchi ingekuwa kama Haiti. Watoto wa juzi hamjui hii inchi ilipotoka mnachojua ni kukunja ngumi tu na kuipiga hewani.
 
Acha ujuha ingekuwa kama unavyosema hii nchi ingekuwa kama Haiti. Watoto wa juzi hamjui hii inchi ilipotoka mnachojua ni kukunja ngumi tu na kuipiga hewani.
Ujuha nitaacha lakini bado Nchi yetu hainauelekeo.
 
Hao Zambia Wana shida zao rundo mfano umeme,mzigo wa madeni,njaa,cholera,na Huduma za hovyo tuu za Afya zikiwemo barabara. Bila kusahau mfumuko wa bei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…