PreGE2025 Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani, tembelea nchi nyingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kusema kweli mwamba ni bingwa la kubadili ujumbe wa nyuzi za watu. Ni cancer kama caner zingne kabsaa.
 
Huo wizi umefanyika wapi. Tuletee ushahidi.
Mkuu Zakayo andunje uspanik hakuna wizi wowote hata ripoti ya CAG tumepigwa sawaeee!. Nadhan moyo wako umeridhika, kashushie mvinyo sasa weekend ndefu hii.
 
Anajifanya haoni report ya CAG
 
Kwa kweli Chama chetu CCM kina baadhi ya viongozi ni mzaha mtupu.Unatumia muda na gharama kushughulika na utapeli wa Sigrada Mligo.Hivi hilo jambo linawezaje kutoongezea pointi za kisiasa?
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…