Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Chama Cha MazezetaUkitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu ya Sita utaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya itakapopatikana. Hii inamaanisha Rais ataendelea kuwa huyu huyu, Wakuu Wa Mikoa na Wilaya hawa hawa, Wabunge hawa hawa na Baraza la Mawaziri hili hili. Spika atakuwa huyu huyu na Viongozi wengine wote wataendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
2. Endapo watakubali kufanya Reforms saivi, Kiongozi wao yaani Mwenyekiti wao ataingia kwenye rekodi za Tanzania zitakazosomwa na vizazi vyote vya Tanzania kuwa Rais wa kwanza aliyekubali na kuitisha Mchakato wa Katiba Mpya hadi akahairisha uchaguzi. Pia atakumbukwa kama Rais aliyefanikisha kuwepo kwa Katiba mpya na bora zaidi kuwepo Tanzania.
3. CCM wakikubali kuhairisha Uchaguzi sasaivi na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa watajiongezea kuaminiwa mara elfu moja zaidi kwa Watanzania. Hili tu litawafanya kutohitaji wasanii wa filamu au Wanamuziki kujaza mikutano yao. Hili pia litawafanya kuwa na hoja endapo ukafanyika uchaguzi wa kwanza huru na wa haki hapa Tanzania ambapo kutokana na kujenga imani upya kwa Watanzania wanaweza wakapata kura nyingi za halali ambazo zitahalalisha Uongozi wao nchini Tanzania na ukanda huu wa Afrika.
4. CCM wakikubali mchakato wa Katiba Mpya kufanyika sasa, watajenga Chama cha Siasa kweli cha watu wanaotumia akili haswa katika kutafuta ufumbuzi wa Matatizo ya Watanzania sio kama sasaivi ambapo hadi wao wanafahamu kupata nafasi kwenye chama chao ni lazima ujipendekeze au uwekwe kutokana na kujuana na kupendwa na kiongozi fulani.
Hitimisho:
Kwa nguvu wanazotumia CCM kupinga ajenda ya No Reform No Election, ikiwemo kutengeneza propaganda chafu dhidi ya Chadema, kutumia hela nyingi kuhonga watu ili walete chockochoko Chadema ni ushahidi kuwa Chama hiki kinaendeshwa na wajinga tena kimejikita kwenye ujinga. Ni bahati mbaya sana Watanzania wanazidi kuamka kila siku na kuelewa ujinga unaofanywa na CCM.
Ni heri wakakubali tuitengeneze upya nchi yetu sasa kwa kuipatia Katiba Bora na Sheria Bora za Uchaguzi kuliko siku wakitokea Wanajeshi na Usalama wa Taifa wenye akili wasiopenda ujinga ambao watawafurusha Ikulu na kuwaweka kwenye Magereza.
Kwani wao wapo Kwa faida ya NaniUkitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.

CCM ni wajinga sana.Na baadaye usije ukawashangaa tena wakilalamikia matatizo hayo hayo! Au kuunga mkono iwapo atayetoa tamko la hayo mabadiliko ni kiongozi wao wa ngazi za juu.
Hadi sasa hawana faida yeyote ile.Kwani wao wapo Kwa faida ya Nani
Dola itapata watu wenye akili siku alafu watawafundisha hawa wajinga kuwa wao ni wajinga.Genge la wahuni lililoiteka dola
Hakuna tatizo lolote kwenye muda. Na hakuna hasara yeyote Taifa litapata uchaguzi haramu ukihairishwa.Muda wa reform kwa uchaguzi mkuu wa 2025 ni rafiki?
gentleman plz,Ukitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla;
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu ya Sita utaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya itakapopatikana. Hii inamaanisha Rais ataendelea kuwa huyu huyu, Wakuu Wa Mikoa na Wilaya hawa hawa, Wabunge hawa hawa na Baraza la Mawaziri hili hili. Spika atakuwa huyu huyu na Viongozi wengine wote wataendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
2. Endapo watakubali kufanya Reforms saivi, Kiongozi wao yaani Mwenyekiti wao ataingia kwenye rekodi za Tanzania zitakazosomwa na vizazi vyote vya Tanzania kuwa Rais wa kwanza aliyekubali na kuitisha Mchakato wa Katiba Mpya hadi akahairisha uchaguzi. Pia atakumbukwa kama Rais aliyefanikisha kuwepo kwa Katiba mpya na bora zaidi kuwepo Tanzania.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. CCM wakikubali kuhairisha Uchaguzi sasaivi na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa watajiongezea kuaminiwa mara elfu moja zaidi kwa Watanzania. Hili tu litawafanya kutohitaji wasanii wa filamu au Wanamuziki kujaza mikutano yao. Hili pia litawafanya kuwa na hoja endapo ukafanyika uchaguzi wa kwanza huru na wa haki hapa Tanzania ambapo kutokana na kujenga imani upya kwa Watanzania wanaweza wakapata kura nyingi za halali ambazo zitahalalisha Uongozi wao nchini Tanzania na ukanda huu wa Afrika.
4. CCM wakikubali mchakato wa Katiba Mpya kufanyika sasa, watajenga Chama cha Siasa kweli cha watu wanaotumia akili haswa katika kutafuta ufumbuzi wa Matatizo ya Watanzania sio kama sasaivi ambapo hadi wao wanafahamu kupata nafasi kwenye chama chao ni lazima ujipendekeze au uwekwe kutokana na kujuana na kupendwa na kiongozi fulani.
Hitimisho:
Kwa nguvu wanazotumia CCM kupinga ajenda ya No Reform No Election, ikiwemo kutengeneza propaganda chafu dhidi ya Chadema, kutumia hela nyingi kuhonga watu ili walete chockochoko Chadema ni ushahidi kuwa Chama hiki kinaendeshwa na wajinga tena kimejikita kwenye ujinga. Ni bahati mbaya sana Watanzania wanazidi kuamka kila siku na kuelewa ujinga unaofanywa na CCM.
Ni heri wakakubali tuitengeneze upya nchi yetu sasa kwa kuipatia Katiba Bora na Sheria Bora za Uchaguzi kuliko siku wakitokea Wanajeshi na Usalama wa Taifa wenye akili wasiopenda ujinga ambao watawafurusha Ikulu na kuwaweka kwenye Magereza.
Hakuna tatizo lolote kwenye muda. Na hakuna hasara yeyote Taifa litapata uchaguzi haramu ukihairishwa.
Tulia ndugu. Ukiona sindano inauma ujue dawa ndo inaingia vizuri.gentleman plz,
this is useless and completely nonsense 🐒
Ukitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla;
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu ya Sita utaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya itakapopatikana. Hii inamaanisha Rais ataendelea kuwa huyu huyu, Wakuu Wa Mikoa na Wilaya hawa hawa, Wabunge hawa hawa na Baraza la Mawaziri hili hili. Spika atakuwa huyu huyu na Viongozi wengine wote wataendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
2. Endapo watakubali kufanya Reforms saivi, Kiongozi wao yaani Mwenyekiti wao ataingia kwenye rekodi za Tanzania zitakazosomwa na vizazi vyote vya Tanzania kuwa Rais wa kwanza aliyekubali na kuitisha Mchakato wa Katiba Mpya hadi akahairisha uchaguzi. Pia atakumbukwa kama Rais aliyefanikisha kuwepo kwa Katiba mpya na bora zaidi kuwepo Tanzania.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. CCM wakikubali kuhairisha Uchaguzi sasaivi na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa watajiongezea kuaminiwa mara elfu moja zaidi kwa Watanzania. Hili tu litawafanya kutohitaji wasanii wa filamu au Wanamuziki kujaza mikutano yao. Hili pia litawafanya kuwa na hoja endapo ukafanyika uchaguzi wa kwanza huru na wa haki hapa Tanzania ambapo kutokana na kujenga imani upya kwa Watanzania wanaweza wakapata kura nyingi za halali ambazo zitahalalisha Uongozi wao nchini Tanzania na ukanda huu wa Afrika.
4. CCM wakikubali mchakato wa Katiba Mpya kufanyika sasa, watajenga Chama cha Siasa kweli cha watu wanaotumia akili haswa katika kutafuta ufumbuzi wa Matatizo ya Watanzania sio kama sasaivi ambapo hadi wao wanafahamu kupata nafasi kwenye chama chao ni lazima ujipendekeze au uwekwe kutokana na kujuana na kupendwa na kiongozi fulani.
Hitimisho:
Kwa nguvu wanazotumia CCM kupinga ajenda ya No Reform No Election, ikiwemo kutengeneza propaganda chafu dhidi ya Chadema, kutumia hela nyingi kuhonga watu ili walete chockochoko Chadema ni ushahidi kuwa Chama hiki kinaendeshwa na wajinga tena kimejikita kwenye ujinga. Ni bahati mbaya sana Watanzania wanazidi kuamka kila siku na kuelewa ujinga unaofanywa na CCM.
Ni heri wakakubali tuitengeneze upya nchi yetu sasa kwa kuipatia Katiba Bora na Sheria Bora za Uchaguzi kuliko siku wakitokea Wanajeshi na Usalama wa Taifa wenye akili wasiopenda ujinga ambao watawafurusha Ikulu na kuwaweka kwenye Magereza.
Huu ni uthibitisho mwingine wa ujinga wao. Wanawekeza kwenye mambo yya kipuuzi ambayo hayana faida yeyote kwa mwananchi wa kawaida na Taifa kwa ujumla
Hata hivyo WatalazimishwaUkitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla;
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu ya Sita utaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya itakapopatikana. Hii inamaanisha Rais ataendelea kuwa huyu huyu, Wakuu Wa Mikoa na Wilaya hawa hawa, Wabunge hawa hawa na Baraza la Mawaziri hili hili. Spika atakuwa huyu huyu na Viongozi wengine wote wataendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
2. Endapo watakubali kufanya Reforms saivi, Kiongozi wao yaani Mwenyekiti wao ataingia kwenye rekodi za Tanzania zitakazosomwa na vizazi vyote vya Tanzania kuwa Rais wa kwanza aliyekubali na kuitisha Mchakato wa Katiba Mpya hadi akahairisha uchaguzi. Pia atakumbukwa kama Rais aliyefanikisha kuwepo kwa Katiba mpya na bora zaidi kuwepo Tanzania.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. CCM wakikubali kuhairisha Uchaguzi sasaivi na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa watajiongezea kuaminiwa mara elfu moja zaidi kwa Watanzania. Hili tu litawafanya kutohitaji wasanii wa filamu au Wanamuziki kujaza mikutano yao. Hili pia litawafanya kuwa na hoja endapo ukafanyika uchaguzi wa kwanza huru na wa haki hapa Tanzania ambapo kutokana na kujenga imani upya kwa Watanzania wanaweza wakapata kura nyingi za halali ambazo zitahalalisha Uongozi wao nchini Tanzania na ukanda huu wa Afrika.
4. CCM wakikubali mchakato wa Katiba Mpya kufanyika sasa, watajenga Chama cha Siasa kweli cha watu wanaotumia akili haswa katika kutafuta ufumbuzi wa Matatizo ya Watanzania sio kama sasaivi ambapo hadi wao wanafahamu kupata nafasi kwenye chama chao ni lazima ujipendekeze au uwekwe kutokana na kujuana na kupendwa na kiongozi fulani.
Hitimisho:
Kwa nguvu wanazotumia CCM kupinga ajenda ya No Reform No Election, ikiwemo kutengeneza propaganda chafu dhidi ya Chadema, kutumia hela nyingi kuhonga watu ili walete chockochoko Chadema ni ushahidi kuwa Chama hiki kinaendeshwa na wajinga tena kimejikita kwenye ujinga. Ni bahati mbaya sana Watanzania wanazidi kuamka kila siku na kuelewa ujinga unaofanywa na CCM.
Ni heri wakakubali tuitengeneze upya nchi yetu sasa kwa kuipatia Katiba Bora na Sheria Bora za Uchaguzi kuliko siku wakitokea Wanajeshi na Usalama wa Taifa wenye akili wasiopenda ujinga ambao watawafurusha Ikulu na kuwaweka kwenye Magereza.
Chama hakiwezi kufa kwa kukubali ajenda ya Katiba Mpya. Kimsingi kikikatqa ndo kinajiweka kwenye hatari ya kufa.TatIzo kila mtu anaogopa kufiwa na chama mkononi..