Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,861
- 15,836
Soma uelewe kwanzaMuda wa reform kwa uchaguzi mkuu wa 2025 ni rafiki?

Tena wataibeba ajenda kwa munkari na kudai kuwa waliuona mkwamo mapema! Inasubiriwa tu Kiongozi Mkuu apige reverse gear..!Na baadaye usije ukawashangaa tena wakilalamikia matatizo hayo hayo! Au kuunga mkono iwapo atayetoa tamko la hayo mabadiliko ni kiongozi wao wa ngazi za juu.
Hawa jamaa ni wajinga sana. Ni aibu kuwa wanatuongoza kwa kweli.Tena wataibeba ajenda kwa munkari na kudai kuwa waliuona mkwamo mapema! Inasubiriwa tu Kiongozi Mkuu apige reverse gear..!
Ukweli ni kwamba CCM ni wajinga sanaWao wako bize na kumvizia Luhaga Mpina na kumambush.
Mh, vitoto vya 2000 bwana. Acha nikae kimya tu!Ukitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla;
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu ya Sita utaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya itakapopatikana. Hii inamaanisha Rais ataendelea kuwa huyu huyu, Wakuu Wa Mikoa na Wilaya hawa hawa, Wabunge hawa hawa na Baraza la Mawaziri hili hili. Spika atakuwa huyu huyu na Viongozi wengine wote wataendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
2. Endapo watakubali kufanya Reforms saivi, Kiongozi wao yaani Mwenyekiti wao ataingia kwenye rekodi za Tanzania zitakazosomwa na vizazi vyote vya Tanzania kuwa Rais wa kwanza aliyekubali na kuitisha Mchakato wa Katiba Mpya hadi akahairisha uchaguzi. Pia atakumbukwa kama Rais aliyefanikisha kuwepo kwa Katiba mpya na bora zaidi kuwepo Tanzania.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. CCM wakikubali kuhairisha Uchaguzi sasaivi na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa watajiongezea kuaminiwa mara elfu moja zaidi kwa Watanzania. Hili tu litawafanya kutohitaji wasanii wa filamu au Wanamuziki kujaza mikutano yao. Hili pia litawafanya kuwa na hoja endapo ukafanyika uchaguzi wa kwanza huru na wa haki hapa Tanzania ambapo kutokana na kujenga imani upya kwa Watanzania wanaweza wakapata kura nyingi za halali ambazo zitahalalisha Uongozi wao nchini Tanzania na ukanda huu wa Afrika.
4. CCM wakikubali mchakato wa Katiba Mpya kufanyika sasa, watajenga Chama cha Siasa kweli cha watu wanaotumia akili haswa katika kutafuta ufumbuzi wa Matatizo ya Watanzania sio kama sasaivi ambapo hadi wao wanafahamu kupata nafasi kwenye chama chao ni lazima ujipendekeze au uwekwe kutokana na kujuana na kupendwa na kiongozi fulani.
Hitimisho:
Kwa nguvu wanazotumia CCM kupinga ajenda ya No Reform No Election, ikiwemo kutengeneza propaganda chafu dhidi ya Chadema, kutumia hela nyingi kuhonga watu ili walete chockochoko Chadema ni ushahidi kuwa Chama hiki kinaendeshwa na wajinga tena kimejikita kwenye ujinga. Ni bahati mbaya sana Watanzania wanazidi kuamka kila siku na kuelewa ujinga unaofanywa na CCM.
Ni heri wakakubali tuitengeneze upya nchi yetu sasa kwa kuipatia Katiba Bora na Sheria Bora za Uchaguzi kuliko siku wakitokea Wanajeshi na Usalama wa Taifa wenye akili wasiopenda ujinga ambao watawafurusha Ikulu na kuwaweka kwenye Magereza.
Yaani unampa mtu chakula anakataa, halafu uliyetoa chakula unalalamika? Una nia nzuri nae kweli? Au unafikiri yeye ni mjinga kukataa?Ukitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla;
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu ya Sita utaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya itakapopatikana. Hii inamaanisha Rais ataendelea kuwa huyu huyu, Wakuu Wa Mikoa na Wilaya hawa hawa, Wabunge hawa hawa na Baraza la Mawaziri hili hili. Spika atakuwa huyu huyu na Viongozi wengine wote wataendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
2. Endapo watakubali kufanya Reforms saivi, Kiongozi wao yaani Mwenyekiti wao ataingia kwenye rekodi za Tanzania zitakazosomwa na vizazi vyote vya Tanzania kuwa Rais wa kwanza aliyekubali na kuitisha Mchakato wa Katiba Mpya hadi akahairisha uchaguzi. Pia atakumbukwa kama Rais aliyefanikisha kuwepo kwa Katiba mpya na bora zaidi kuwepo Tanzania.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. CCM wakikubali kuhairisha Uchaguzi sasaivi na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa watajiongezea kuaminiwa mara elfu moja zaidi kwa Watanzania. Hili tu litawafanya kutohitaji wasanii wa filamu au Wanamuziki kujaza mikutano yao. Hili pia litawafanya kuwa na hoja endapo ukafanyika uchaguzi wa kwanza huru na wa haki hapa Tanzania ambapo kutokana na kujenga imani upya kwa Watanzania wanaweza wakapata kura nyingi za halali ambazo zitahalalisha Uongozi wao nchini Tanzania na ukanda huu wa Afrika.
4. CCM wakikubali mchakato wa Katiba Mpya kufanyika sasa, watajenga Chama cha Siasa kweli cha watu wanaotumia akili haswa katika kutafuta ufumbuzi wa Matatizo ya Watanzania sio kama sasaivi ambapo hadi wao wanafahamu kupata nafasi kwenye chama chao ni lazima ujipendekeze au uwekwe kutokana na kujuana na kupendwa na kiongozi fulani.
Hitimisho:
Kwa nguvu wanazotumia CCM kupinga ajenda ya No Reform No Election, ikiwemo kutengeneza propaganda chafu dhidi ya Chadema, kutumia hela nyingi kuhonga watu ili walete chockochoko Chadema ni ushahidi kuwa Chama hiki kinaendeshwa na wajinga tena kimejikita kwenye ujinga. Ni bahati mbaya sana Watanzania wanazidi kuamka kila siku na kuelewa ujinga unaofanywa na CCM.
Ni heri wakakubali tuitengeneze upya nchi yetu sasa kwa kuipatia Katiba Bora na Sheria Bora za Uchaguzi kuliko siku wakitokea Wanajeshi na Usalama wa Taifa wenye akili wasiopenda ujinga ambao watawafurusha Ikulu na kuwaweka kwenye Magereza.
Hakuna anayelalamika. Tunawashangaa maana huu ndo ukweli.Yaani unampa mtu chakula anakataa, halafu uliyetoa chakula unalalamika? Una nia nzuri nae kweli? Au unafikiri yeye ni mjinga kukataa?
Comrade, wewe sema tu umeishiwa hoja au umepigwa spana za kutosha. Ila siyo kuwasingizia watoto wa watu ambao ni nadra sana kuwakuta wanachangia mada za aina hii.Mh, vitoto vya 2000 bwana. Acha nikae kimya tu!
Tutake radhi! Ushawahi ona wapi mtoto wa 2000 anaweka hoja nzito hapa jukwaani? Tena jukwaa la siasa?Mh, vitoto vya 2000 bwana. Acha nikae kimya tu!
Hawana chochote cha kusema kwenye hoja nzito. Wanaishia kulalama tu kama sio kupita kama wanaaga maiti.Comrade, wewe sema tu umeishiwa hoja au umepigwa spana za kutosha. Ila siyo kuwasingizia watoto wa watu ambao ni nadra sana kuwakuta wanachangia mada za aina hii.
Wenyewe mada zao huwa zinajulikana siku zote.
SIo wajingaUkitaka kujua CCM ni wajinga sana ni uhalisia kwamba, Kampeni wanayoipinga ya No Reform No Election, kimsingi inawasaidia wao zaidi na inafaida kwao na kwa Taifa.
Kampeni ya No Reform No Election ina faida zifuatazo kwa CCM na Taifa kwa ujumla;
1. Endapo Uchaguzi utahairishwa, Utawala wa Awamu ya Sita utaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya itakapopatikana. Hii inamaanisha Rais ataendelea kuwa huyu huyu, Wakuu Wa Mikoa na Wilaya hawa hawa, Wabunge hawa hawa na Baraza la Mawaziri hili hili. Spika atakuwa huyu huyu na Viongozi wengine wote wataendelea kuwepo kwenye nafasi zao.
2. Endapo watakubali kufanya Reforms saivi, Kiongozi wao yaani Mwenyekiti wao ataingia kwenye rekodi za Tanzania zitakazosomwa na vizazi vyote vya Tanzania kuwa Rais wa kwanza aliyekubali na kuitisha Mchakato wa Katiba Mpya hadi akahairisha uchaguzi. Pia atakumbukwa kama Rais aliyefanikisha kuwepo kwa Katiba mpya na bora zaidi kuwepo Tanzania.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
3. CCM wakikubali kuhairisha Uchaguzi sasaivi na kuanzisha mchakato wa Katiba sasa watajiongezea kuaminiwa mara elfu moja zaidi kwa Watanzania. Hili tu litawafanya kutohitaji wasanii wa filamu au Wanamuziki kujaza mikutano yao. Hili pia litawafanya kuwa na hoja endapo ukafanyika uchaguzi wa kwanza huru na wa haki hapa Tanzania ambapo kutokana na kujenga imani upya kwa Watanzania wanaweza wakapata kura nyingi za halali ambazo zitahalalisha Uongozi wao nchini Tanzania na ukanda huu wa Afrika.
4. CCM wakikubali mchakato wa Katiba Mpya kufanyika sasa, watajenga Chama cha Siasa kweli cha watu wanaotumia akili haswa katika kutafuta ufumbuzi wa Matatizo ya Watanzania sio kama sasaivi ambapo hadi wao wanafahamu kupata nafasi kwenye chama chao ni lazima ujipendekeze au uwekwe kutokana na kujuana na kupendwa na kiongozi fulani au utumie rushwa.
Hitimisho:
Kwa nguvu wanazotumia CCM kupinga ajenda ya No Reform No Election, ikiwemo kutengeneza propaganda chafu dhidi ya Chadema, kutumia hela nyingi kuhonga watu ili walete chockochoko Chadema ni ushahidi kuwa Chama hiki kinaendeshwa na wajinga tena kimejikita kwenye ujinga. Ni bahati mbaya sana Watanzania wanazidi kuamka kila siku na kuelewa ujinga unaofanywa na CCM.
Ni heri wakakubali tuitengeneze upya nchi yetu sasa kwa kuipatia Katiba Bora na Sheria Bora za Uchaguzi kuliko siku wakitokea Wanajeshi na Usalama wa Taifa wenye akili wasiopenda ujinga ambao watawafurusha Ikulu na kuwaweka kwenye Magereza.
Wale ndo wanathibitisha kuwa hatua za dharula lazima zichukuliwe kulikomboa hili Taifa na ujinga uliotukuka.na kuna masomi mazezeta juzi yameandamana
Unataka kusema ni wapumbavu kabisa?SIo wajinga
HakikaHata hivyo Watalazimishwa
🤣🤣🤣Tutake radhi! Ushawahi ona wapi mtoto wa 2000 anaweka hoja nzito hapa jukwaani? Tena jukwaa la siasa?
Hoja ninazo tele kiongoziComrade, wewe sema tu umeishiwa hoja au umepigwa spana za kutosha. Ila siyo kuwasingizia watoto wa watu ambao ni nadra sana kuwakuta wanachangia mada za aina hii.