PreGE2025 Ukitaka kujua CCM ni wajinga, No Reform No Election ni kwa Faida yao na Taifa ila wanaikataa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Na baadaye usije ukawashangaa tena wakilalamikia matatizo hayo hayo! Au kuunga mkono iwapo atayetoa tamko la hayo mabadiliko ni kiongozi wao wa ngazi za juu.
Tena wataibeba ajenda kwa munkari na kudai kuwa waliuona mkwamo mapema! Inasubiriwa tu Kiongozi Mkuu apige reverse gear..!
 
Tena wataibeba ajenda kwa munkari na kudai kuwa waliuona mkwamo mapema! Inasubiriwa tu Kiongozi Mkuu apige reverse gear..!
Hawa jamaa ni wajinga sana. Ni aibu kuwa wanatuongoza kwa kweli.
 
Mh, vitoto vya 2000 bwana. Acha nikae kimya tu!
 
Yaani unampa mtu chakula anakataa, halafu uliyetoa chakula unalalamika? Una nia nzuri nae kweli? Au unafikiri yeye ni mjinga kukataa?
 
Comrade, wewe sema tu umeishiwa hoja au umepigwa spana za kutosha. Ila siyo kuwasingizia watoto wa watu ambao ni nadra sana kuwakuta wanachangia mada za aina hii.

Wenyewe mada zao huwa zinajulikana siku zote.
Hawana chochote cha kusema kwenye hoja nzito. Wanaishia kulalama tu kama sio kupita kama wanaaga maiti.
 
SIo wajinga
 
Comrade, wewe sema tu umeishiwa hoja au umepigwa spana za kutosha. Ila siyo kuwasingizia watoto wa watu ambao ni nadra sana kuwakuta wanachangia mada za aina hii.

Wenyewe mada zao huwa zinajulikana siku zote.
Hoja ninazo tele kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…