Ukitaka kujua hii nchi kuna huduma mbovu, nenda Hospital ya Serikali.

Ukitaka kujua hii nchi kuna huduma mbovu, nenda Hospital ya Serikali.

Nakubaliana na mtoa mada.
Kuna siku ilikuwa jumamosi kuna jamaa yangu alipata ajali hivyo tukampeleka hospitali ya serikali iliyopo karibu, kufika hospitalini tunaambiwa eti daktari yupo kwenye jumuiya anasali. Hivyo kulikuwa na manesi tu kwenye ile hospitali na manesi wenyewe walikuwa wanatupita kama hawatuoni. Nilikasirika sana ile siku Asee.
Heri ya nyie mliambiwa dokta kaenda kwenye jumuiya, sisi tuliambiwa dokta ameenda kula sikukuu mpaka kesho, ilikuwa ni siku ya Eid fitri, imagine na hiyo ni hosiptal ya rufaa ya mkoa.

Kuzaliwa na kukulia bongo ni moja ya adhabu kubwa sana kwakweli.
 
Kwamba eti watumishi wa afya nao ni binadamu hivyo ni sahihi kutoa huduma mbovu kwa vile hawana allowances za kuridhisha?

Aisee nikukutana na watu wenye reasoning kama hii huwa naghafirika sana, yaan kabisa watu mna justify watumishi wa afya kutoa huduma mbovu kwa sababu nyepesi hivi? Daah.

Kama suala ni maslahi kwanin wasiache kazi, waje wengine watakaokuwa fully committed kwa hayo hayo maslahi?

Mbona wewe uliacha kazi ya utabibu na kufanya mambo mengine..!! Kwanin na hao kuliko kuwatetea sijui wanafanya uzembe wa makusudi sababu ya uduni wa allowance wasiache kazi tu.
Sijawatetea, nimeelezea tu mazingira ya kazi yao... Tujikite katika kutatua matatizo kuliko kulaumu zaidi... Sijahalalisha wafanye hivyo, sio maadili... Ila nimesema tu Kuna triggers Kama hizo na watu hawafanani.. hukohuko government Kuna wataalamu wanatoa huduma nzuri sana Ila hawasemwi... Yaani watu wanasubiri siku mtumishi akosee tu... Hao watumishi wanasaidia watu wengi Sana... Ila siku ukikosea utalaumiwa Sana Kama hujawahi fanya lolote.
 
Sawa nimekuelewa ndugu.
 
Back
Top Bottom