MKATA KIU JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,410 Reaction score 8,184 Mar 8, 2025 #1 Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
Naomba jibu la hilo swali langu Maana Mtu anaweza akakopa simu akaitumia ikawa used halafu akaiuza kwa mtu mwingine. Bila kumuambia simu ina deni
Cassnzoba JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 3,661 Reaction score 6,913 Mar 8, 2025 #2 Ngoja waje
T Turudi pale Rau Madukani JF-Expert Member Joined Jan 16, 2016 Posts 2,339 Reaction score 5,112 Mar 9, 2025 #3 Kuna nyingine ukibadilisha laini huwa inaleta ujumbe kuwa simu hii ni ya mkopo