Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

oya i thnk itakua true coz kuna washkaji wangu wamemalia 4m6 mwaka huu na nimewaona pale
Ze dudu mzazi jamaa anashout kweli ila nasema WATAJITOKEZA TU HUMU WALO APPLY KWA T.C.U THEN ATAAMINI MWENYEWE Jf haipo kuzinguana au kuuza sura sio facebook hii mtu anapost kitu chenye reality
 
Nimeshayaona but design kama ni ya direct applicants vile kiongozi
 
heading; TCU; nipimegiwa simu!!!
messege: Nimepigiwa na vyuo nilivyochagua(plural sio chuo kimoja, wala sio tena TCU)
baadae tena; jordan university
Jordan University ndo nini??????
JITAHIDI KUFICHA UJINGA WAKO...

man ts just a typing error mambo mengi kichwan mkuu!
 
WANA JF naomba ushauri kwani nimeandikiwa your not admitted nina DIV III pt 15,chakushangaza tcu wametoa nafasi now kidogo sana kwa ajiri yA Second appl nahisi kukosa kwan hata dip ckupata.please assist me
 
WANA JF naomba ushauri kwani nimeandikiwa your not admitted nina DIV III pt 15,chakushangaza tcu wametoa nafasi now kidogo sana kwa ajiri yA Second appl nahisi kukosa kwan hata dip ckupata.please assist me

cha kufanya n kuwahi re-applctn c kungj msaada
 
Wadau wana jamvi hivi hizi available slots mbona kama hazieleweki vile.
Nimeshangaa sana leo!! kwani katika kozi nyingi kulikuwa na waombaji wa kutosha na walio kuwa eligible walikua wa kutosha, Mfano ni kwenye kozi ya Bsc. in Building Economics ya Ardhi competition ilikua hivi
WALIO APPLY=2130
ELIGIBLE=1692
ELIGIBLE & 1st CHOICE=187
ADMISSION CAPACITY=20

sasa cha ajabu leo naona kuna available slot 15(inamaana kuna walio achwa??). na sio Kozi hii tu kuna kozi zingine nyingi tu, wadau hebu tuelezane bayana inakuaje mambo kama haya??
Naomba kuwasilisha
 
Reactions: SMU
bongo bado sana hizi mambo bora kupeleka kwa mkono tu chuo unachokitaka wanazingua knoma
 
Hakuna me nataka wa2 wawe na huakika na threads zao maana me nachek nakuna na majina ya vyeti na dip 2 kaka
jombaaa usiiogope pdf file hio scroll mpaka chini utaona course na majina wewe
 
Nimeshayaona but design kama ni ya direct applicants vile kiongozi
jombaa kuna mdogo wangu amepata hapo then ma best wangu wawili pia na wote wameomba through CAS Direct entry ni hao dip, certf TuMAINI haija publish bachelor applicant waloomba direct
 
Hii inasikitisha sana kuona Chombo kilicho pewa dhamana kubwa katika mustakhabali wa vyuo vikuu kinafanya mambo ya kushangaza namna HII.
 
tatizo wanaajiri watu wasio na sifa wakati ma IT kibao kitaaaa
 
Kila mmoja anajua humu hakuna anayemwambia mwambie nisaidie hapa kila mmoja mjuvi
 
tutafanyaje na hii ndo nchi yetu.tunataka kusoma lakin mtaona kitakacho tokea HESLB tumuombeni MUNGU 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…