Wadau wana jamvi hivi hizi available slots mbona kama hazieleweki vile.
Nimeshangaa sana leo!! kwani katika kozi nyingi kulikuwa na waombaji wa kutosha na walio kuwa eligible walikua wa kutosha, Mfano ni kwenye kozi ya Bsc. in Building Economics ya Ardhi competition ilikua hivi
WALIO APPLY=2130
ELIGIBLE=1692
ELIGIBLE & 1st CHOICE=187
ADMISSION CAPACITY=20
sasa cha ajabu leo naona kuna available slot 15(inamaana kuna walio achwa??). na sio Kozi hii tu kuna kozi zingine nyingi tu, wadau hebu tuelezane bayana inakuaje mambo kama haya??
Naomba kuwasilisha