tutafanyaje na hii ndo nchi yetu.tunataka kusoma lakin mtaona kitakacho tokea HESLB tumuombeni MUNGU 2
kuna software malfunction! IT specialists wanafanyia kazi. Patience pays.
Leo kuna watu wamenipigia simu kutoka katika vyuo nilivyochagua wanasema nimechaguliwa kujiunga na hicho chuo is it posible wakuu?
na wewe pia unasubiri tcu mkuu...
Wadau wana jamvi hivi hizi available slots mbona kama hazieleweki vile.
Nimeshangaa sana leo!! kwani katika kozi nyingi kulikuwa na waombaji wa kutosha na walio kuwa eligible walikua wa kutosha, Mfano ni kwenye kozi ya Bsc. in Building Survey ya Ardhi competition ilikua hivi
WALIO APPLY=2130
ELIGIBLE=1692
ELIGIBLE & 1st CHOICE=187
ADMISSION CAPACITY=20
sasa cha ajabu leo naona kuna available slot 17(inamaana wamechaguliwa wa3 tu??). na sio Kozi hii tu kuna kozi zingine nyingi tu, wadau hebu tuelezane bayana inakuaje mambo kama haya??
Naomba kuwasilisha
oya cjaiona hiyo kozi embu nisaidie namba yake
ni kweli kuna rafiki yangu kanitaarifu sasa hvi kapigiwa simu kuwa amechaguliwa jordan unnivesirty college,ni ukweli
Nahisi labda waliongeza admission capacity mkuu
acha kukurupuka jombaa thread ndefu hii page2 anza moja kwanza!!! vip bundle inakaribia kuisha nini??? ohh sorry mambo ya net cafe hayoombona mazinguzi sasa hizo dakika tano ndo mwaka:spy:
Bora hata wewe uliyekuwa waiona.Wadau naona "YOU ARE ADMITTED" kama imepotea vile