Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

kuna software malfunction! IT specialists wanafanyia kazi. Patience pays.
 
Haya nikweli wengi walioaply Jordan wameshajidhirisha kuchaguliwa kwao huko, na wale wa saut wasilianeni na ndugu na jamaa walio mwanza wawacheki.
 
Leo kuna watu wamenipigia simu kutoka katika vyuo nilivyochagua wanasema nimechaguliwa kujiunga na hicho chuo is it posible wakuu?

kwaiyo umechaguliwa chuo zaidi ya kimoja??
 
Wadau wana jamvi hivi hizi available slots mbona kama hazieleweki vile.
Nimeshangaa sana leo!! kwani katika kozi nyingi kulikuwa na waombaji wa kutosha na walio kuwa eligible walikua wa kutosha, Mfano ni kwenye kozi ya Bsc. in Building Survey ya Ardhi competition ilikua hivi
WALIO APPLY=2130
ELIGIBLE=1692
ELIGIBLE & 1st CHOICE=187
ADMISSION CAPACITY=20

sasa cha ajabu leo naona kuna available slot 17(inamaana wamechaguliwa wa3 tu??). na sio Kozi hii tu kuna kozi zingine nyingi tu, wadau hebu tuelezane bayana inakuaje mambo kama haya??
Naomba kuwasilisha

Nahisi labda waliongeza admission capacity mkuu
 
Nimeingia kwenye website yako hamna kitu yaman mwenye hizo selection anisaidie nami nijijue kama nko apo maana cjapgiwa sim
 
Hivi hawa TCU niwaeleweje mpaka leo wameniweke status NOT YET PROCESSED sasa maana yake ni nini, kuwa nimekosa au ndo niombe tena.
 
Duh kweli mazee mpaka sms wamewatumia wengene mshikaji wangu ndo kanionesha sema hata yeye alikua haamini bt ndivyo ilivyo wap Ardhi,Mzumbe,Udom na vingine
 
Wadau naona "YOU ARE ADMITTED" kama imepotea vile
 
Back
Top Bottom