Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

mmh !! Ngoja nisubilie majibu ya wadau

¤Ninga R
¤Lordville
¤Ipyan
¤King Rockie ATL
¤Mpigamsuli

..........................................
 
kwa mbali naona unafuu..........kichwani mwang pamejaa utata na story za kila siku za hawa jamaa wa TCU....bora watoe majina kwani ipo siku wataua mtu.
 
daah wadau mi nishachoka na hawa jamaa coz ni-click kwenye 2nd round applctn kile ki-box cha kozi 1 kina appear so ndo inamaana 2nd applctn inanihusu au?
 
kusema kweli haya majina cya tcu kwasababu nimechukua majina kma tano nikaenda kugoogle kuona matokeo yao ya 4m6 hamna hata moja lililoonye na kwa faculty kma economic and finance ilikuwa na slots 100 hapo wamewekwa watu 8 tu.
kijanaa weka hapa hayo majina matano ulochagua then relate na link hii we wee!! Selection Results for academic year 2012/2013 then kila mtu ahakikishe
 
jaman kulingana na research naona ka majina yatatoka sept saabu mwaka jana yalitoka 1st of sept so mi nadhan muache kumbwela 2 wakuu
 
Ngoja nitabiri kesho watatuandikia hii!

"DEAR APPLICANT IF THE SECOND APPLICATION ICON IS ACTIVE PLEASE PROCEED TO SECOND APPLICATION, BUT IF IT'S NOT ACTIVE GET THE HELL OUT OF HERE AND WAIT FOR SELECTION TU BE PUBLISHED. IF YOU CONTINUE TU DISTURB THE CAS WE ARE GOING TO KNOCK YOU OUT OF SELECTED APPLICANTS"
 
hapana km ulipo-login tool bar ya 2nd round applct haiko activ unapotezea ila km iko activ inabd ufanye applctn ya 2nd round. Ila ukiingia kwny my profile af ukaikuta activ ucfanye chochot kwn ipo kw wot. Cha muhmu ni pale ulipolog-in ndio inakuhusu if iko activ otherwise dnt do anythn
 
Back
Top Bottom