The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Upotential wa MTAKA ni UPI???GT
Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali.
Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio cha Samaki but he is a great Man wahuni hawataki kabisa kumsogeza mbele maana hawezi kukubali ujingaujinga wao.
Sahihi kabisa, wakati mwingine uko vizuriOverrated
Sisi watu wa simiyu tunaujua umahiri wake kama wewe haujui Subiri kutick kinyeo octoberUpotential wa MTAKA ni UPI???
Taja legacy yake huko SimiyuSisi watu wa simiyu tunaujuaasi kama wewe haujui uamhiri wake.
Siyo kila mtu ni MSUKULE wa wanasiasa na vyama vya siasa.Subiri kutick kinyeo october
Hakuna unalojua wewe..endelea kushabikia wahuniTaja legacy yake huko Simiyu
Siyo kila mtu ni MSUKULE wa wanasiasa na vyama vya siasa.
Punguza kutapika
Wewe unachojua ni kubweka ONLINE na kubeba mikoba ya Mtaka, takaHakuna unalojua wewe..endelea kushabikia wahuni
Kichwani mweupe kabisa, usidanganywe na vi-clips anavyopostl
GT
Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali.
Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio cha Samaki but he is a great Man wahuni hawataki kabisa kumsogeza mbele maana hawezi kukubali ujingaujinga wao.
Mbona Njombe ni mkoa potential sana,au hujafika Njombe mkuu....GT
Wakuu such a potential person una mficha kwa madhumuni gani. Huyu jamaa kama JPM angekuweoo lazima angepewa nafasi kubwa sana kusimamia serikali.
Najua kabisa moyoni ana majonzi analia kilio cha Samaki but he is a great Man wahuni hawataki kabisa kumsogeza mbele maana hawezi kukubali ujingaujinga wao.
naam mkuu..ukishakuwa Ccm, kama alivyo Mtaka, maana yake ni mtu unayeweza kuvumilia udhalimu, na uko tayari kuushiriki.