kanuni tamu
Member
- Apr 28, 2019
- 23
- 7
Yanga kiukweli kabisa wamechoka!!kuna ukweli unafichwa kwa maslahi ya watu,kuendesha club kubwa kama ni gharama kubwa sana,tunahitaji wachezaji professional, tunahitaji kocha wa kiwango hicho,chanzo cha hela ni kutoka kwa Gsm hv gsm anapata nn kwa yanga,tukubali nyakati tubadilishe katiba club isiwe ya wanachama iwe taasisi ili tutafute uwekezaji,tusitegemee hawa makabachori always huwa ni wababaishaji tu