Ukitaka kujua ni jinsi gani GSM wanavyoanza Kuhatarisha Amani ndani ya Klabu ya Yanga kwa Usanii wao juu ya Mchezaji Bernard Morrison fuatilia hili

Yanga kiukweli kabisa wamechoka!!kuna ukweli unafichwa kwa maslahi ya watu,kuendesha club kubwa kama ni gharama kubwa sana,tunahitaji wachezaji professional, tunahitaji kocha wa kiwango hicho,chanzo cha hela ni kutoka kwa Gsm hv gsm anapata nn kwa yanga,tukubali nyakati tubadilishe katiba club isiwe ya wanachama iwe taasisi ili tutafute uwekezaji,tusitegemee hawa makabachori always huwa ni wababaishaji tu
 
Kaanzishe timu yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GSM hawajawahi kufanikiwa kwenye nyanja yoyote zaidi ya kutaka kujionyesha na kuiga,walianza na MAJI ya Songea sasa wameibukia Jangwani,watu wanatumia vilabu kutengeneza umaarufu tu lakini nia ya kuiinua hamna,Yanga ile ya Gulamali sidhani kama itarudi tena
 
Dah klabu yangu hii sijui lini mambo yatakaa sawa,inanisononesha sana natamani ningekuwa tajiri niisaidie tu
 
Bongo kuna utapeli binafsi na utapeli wa kitaasisi. Hapa kwa Yanga taasisi inatapeliwa. YangaLivesMatters
 
Nani kakwambia mkataba upo kwa mdhamini

Nimesikia Hersi akiongea, "nimeshuhudia kwa macho yangu, sikusimuliwa, Morrison akitia saini akiwa na Viongozi wa Yanga"

Mikia ndio timu ya kwanza ambayo mmiliki wa timu anatia saini na wachezaji badala ya viongozi wa timu kufanya kazi hiyo,

Hii mikataba ambayo mmiliki amesimamia utiaji saini itakuwa wapi, kwenye jengo la Kilomoni au nyumbani kwa Dewji mwenye timu
Kwanini mkataba uwe kwa mdhamini badala ya kuwa klabuni
 
Mzimu wa manji hautawaacha salama aliwalea vizuri kiasi kwamba mkadhan kila mtu ni mwema wengine wahuni tu
 
Contract inaisha lini?
 
Kama Morrison hana mkataba na Yanga kwanini mbumbumbu fc mchanganyikiwe wakati yupo huru, ongeeni nae mumsajili free.
Kwani unadhani bado? Hata picha unashindwa kuielewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…