kafuta ambele
Senior Member
- Aug 7, 2017
- 184
- 515
Viongozi wa Tanzania naona wameufyata sisikii wakisema mabeberu tuwakatae na kiuhalisia sisi tunanufaika zaidi na mmarekani kuliko yeye anavonufaika na sisi tofauti na mvimba macho tanzania kaifanya ni soko la bidhaa zake na makazi ya wananchi wake ila kwenye haya matatizo anakuwa kama hatuoni
Nafkiri baada ya hili sekeseke tutaheshimiana watu walikuwa wanakataa hadi teuzi za raisi ili waendelee kupiga hela kwenye hizi NGOs
Nafkiri baada ya hili sekeseke tutaheshimiana watu walikuwa wanakataa hadi teuzi za raisi ili waendelee kupiga hela kwenye hizi NGOs