Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

Yani naona kuna shida kwenye taifa. Hivi wewe kama kiongozi huwezi kung'amua kwamba hawa watu wanaonizunguka ni machawa ata ushauri wanaonipa niweke kwenye dustbin. Kama kiongozi hawezi kung'amua hilo yeye na chawa akili zao zinafanana.
Watu wenye uwezo duni na wasiokuwa na weledi wanapenda kuishi kwa kusifiwa. Hivyo kuzungukwa na wafuasi (machawa) wanaowasifu na kuwaimbia mapambio ni starehe yao!
 
Kwani hamuoni vituo vya afya na vifaa tiba vilivyomwagwa nchini?

Mnadhani Samia pesa katoa waipi?
 
😃😃😃 Kuna watu wanakata magovi kwa hisani ya watu wa marekani si mchezo yaani kuzaliwa Africa tayari unakuwa umeingia kwenye hazard.
Hahahaha we jamaa fala sana nimecheka mpaka watu wananishangaa ahahaha eti kwa hisani ya marekani hahaha ila wakuu mmepegawa sana hahaha.. Tuseme ukweli lakini Tanzania bado sana Yan govi la mtu wa bariadi mipango yake ipo washington DC hahaha
 
Wewe umeandika utenzi mreefu. Mimi nimekupa hesabu hapo. Kua huo misaada tunatoa shukurani lakini Bado ni kama tone katika bahari.
Hiyo hesabu yako unayodai kunipa iko wapi? Kwa kuanzia bajeti yetu ya Wizara ya Afya ni kiasi gani kwa mwaka?
Kuhudumia watu milioni 60 kuwapa huduma ya wastani inahitaji pesa nyingi sana ambapo Tanzania pamoja na misaada na bajeti yake Bado haitoshi.
Eti kuhudumia watu milioni 60 kuwapa huduma ya wastani kunahitaji pesa nyingi sana, je hiyo pesa nyingi sana ni kiasi gani?

Acha longo longo tafadhali, come up with a figure?
 
Mimi nimefanyakazi kwenye USAID Funded Projects pesa nyingi hubaki huko huko Marekani. Kwanza viongozi wa ngazi za juu za project lazima wawe Wamarekani na wanalimpwa mara 10 zaidi ya Mtanzania pia kuna wafanyakazi ambao wako based US lakini wanakuwa wanalipwa pesa hizo za project na pesa hizo zinalipwa kwenye account za mhusika huko huko USA, vifaa vyote vinatoka Marekani kwa bei ya juu sana. Pia mkiwa mnasafiri lazima mtumie ndege za US flag. Hivyo pesa ambazo zitakuwa zimewanufaisha watz kati ya hizo ni asilimia robo tu lakini kwenye matangazo wanatoa pesa zote wameleta TZ. Wamarekani ni matapeli sana.
Bado hamjasema,TRUMPET NDO KWANZA AMEANZA😀😀😀
 
Hivi unaelewa maana ya neno DISBURSEMENT wewe?

Hizo pesa sio ahadi ni kwamba zilikuwa zkmeshatoka na zimeshafikia wahusika.

Elewa maana ya neno DISBURSEMENT
wewe acha kutusumbua na viingilishi kwani ukisema MALIPO unapungukiwa nini bwanaa hivi viinglishi ndio alikuwa anavichukia Mwendazake.
 
Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha

Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo

Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Zelensky mwenyewe anashangaa hesabu ya pesa anazopewa "haikubaliani" na aliyo nayo bank!
 
Halafu kuna mafisi yanasema eti TUJITETEE kisa Trump kakata mirija
Haya majizi yafunguliwe nyuzi hata 100 kwa siku
WANAOONA TIRAMPET KAWAONEA WAANDAMANE KWA MIGUU MPAKA MBELE YA WHITE HAUSI😆😆😆.


WAGARAUKE HAPO MBELE YA WHITE HOUSE HUEWENDA MZEE MZIMA KING KONG BINGWA WA KUWAZINGUA MATAPELI TRUMP ATAWASIKILIZA🙌🙌🙌
 
Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha

Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo

Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Yote kwa yote, sisi wametuzidi akili.
 
WANAOONA TIRAMPET KAWAONEA WAANDAMANE KWA MIGUU MPAKA MBELE YA WHITE HAUSI😆😆😆.


WAGARAUKE HAPO MBELE YA WHITE HOUSE HUEWENDA MZEE MZIMA KING KONG BINGWA WA KUWAZINGUA MATAPELI TRUMP ATAWASIKILIZA🙌🙌🙌
Dua la kuku hilo wanaomba
Mirija imekatwa hapo yakome majizi
 
Utakuta hujawahi fanya kazi yoyote inayohusu USAID ndo maana unabisha kama taahira.

Utaahira ni kuweka jina la mwanamke ambaye ana mume na watoto wake kwenye ID yako.

Jinga kabisa
 
Kampuni yetu ilipewa tenda ya ku-supply vifaa vya utafiti ila sharti ilikuwa kununua kwenye maduka ya Marekani. Hiyo ndo siku nilijua uhuni wa USAID. Kampuni iliambulia faida kidogo sana.

Kwa hiyo ukinunua kwenye kampuni za Marekani ndo nini?

Your argument on why huduma za afya ni mbovu na tunapokea pesa nyingi ni kwa sababu tunanunulia vifaa kutoka kwa Wamarekani?

Omba Mods wakubadilishie hiyo ID.

Hata huyo unayemfanyia uchawa akiona kwamba haya ndo maoni yako atakushangaa
 
Seems haujui hata mashiroka yanafanyaje kazi

I bet hata 1/5 ya hiyo hela haijafika Tanzania. Mostly imeisha kwenye mishahara na per diems

Nilitegemea utabishia hoja yangu with facts and data

"I Bet" and "Mostly" ni maneno ya kijinga sana unapokuja ku-refute hoja nzito kama hii
 
Kwani hamuoni vituo vya afya na vifaa tiba vilivyomwagwa nchini?

Mnadhani Samia pesa katoa waipi?

Vimemwagwa wapi?

Hukusikia maneno ya yule RC mropokaji kuwa mahospitali huwa sometimes hayana gloves

Em tuambie uko kitongoji tuje huko kwenye vifaa tiba vya kutosha
 
Back
Top Bottom