Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Watu wenye uwezo duni na wasiokuwa na weledi wanapenda kuishi kwa kusifiwa. Hivyo kuzungukwa na wafuasi (machawa) wanaowasifu na kuwaimbia mapambio ni starehe yao!Yani naona kuna shida kwenye taifa. Hivi wewe kama kiongozi huwezi kung'amua kwamba hawa watu wanaonizunguka ni machawa ata ushauri wanaonipa niweke kwenye dustbin. Kama kiongozi hawezi kung'amua hilo yeye na chawa akili zao zinafanana.