Ukitaka kujua upendo wa dhati leo hii............

Ukitaka kujua upendo wa dhati leo hii............

Napenda kuwa na amani,mmi hata akisahau siigusi ng'oooo.
 
Happy Valentine kwa siyo na wapenzi, you welcome to be my valentine :laugh::laugh:
 
Happy Valentine kwa siyo na wapenzi, you welcome to be my valentine :laugh::laugh:

Wewe mke au mume..........? weka jinsia yako watu wakuPM fasta maana kuna watu mpaka saa hizi hakijaeleweka.
 
Ahhh najiamini sana tu....sema washkaji wapo na watazidi kuwepo!!Nampa afurahie kama vile yeye ndo ameandikiwa na simu apokee!!:coffee:

Yaani wale wa zamani wakiomba mechi ya kirafiki wanapewa na uwanja.............?
 
WanaJF,

Napenda kutoa angalizo kidogo, ukitaka kufahamu upendo wa kweli usipokee zawadi yoyote kutoka kwa mpenzi wako we mwambie mbadilishane simu siku ya leo yaani tarehe 14.02.2011. Utajua mpo wangapi na nafasi yako ipo wapi.

Tahadhari.

Agalia usije ukazimia au kunywa sumu kwa simu zitakazopigwa na meseji zitakazoingia.

Halafu ukute rafiki yako ndiyo anananihii sasa
 
Back
Top Bottom