Kuna series moja maarufu inayotrend duniani kwa sasa inaitwa SILO , hii series imeanza kutoka 2023 mpaka sasahv inaendelea iko season 3 ambayo imetoka mwaka huu 2026.
Kuna familia moja ya Black , mume anaitwa robert na mkewe camille, wote ni watu weusi. Kinachosikitisha ni kwamba mwanaume hapo mwanzo wakati picha inaanza alikuwa na cheo kuliko mkewe , alikuwa shadow wa mayor wa SILO 18 kisha baadae akapandishwa cheo akawa jaji baada ya aliyekuwepo kuuwawa kwa sumu na bwana meya kwa sababu ya mambo fulani fulani ya kisiasa ambayo meya alikuwa hataki watu wajue.
Kinachosikitisha ni kwamba wakati bwana robert ana cheo kikubwa alikuwa anamtreat sana vyema mkewe na mtoto wao wa kiume Anthony ila kibao kilibadilika pale mwanamke alipokuja kupata ukuu akawa na kitengo kikubwa kumzidi mumewe hapo ndo jamaa aliona moto.
Camilla alikuja akawa mkuu wa SILO 18 baada ya bwana meya bernad kufariki na kilichofuata baada ya hapo ndo ule msemo wa mwanamke akiwa na nguvu basi watu wajiandae kuumia, kwanza alimfunga Mme wake gerezani na aliuwa mamia ya wanachi waliokuwa wanafanya kazi mgodini kwa kutumia sumu ya panya kwa kufuata maelekezo ya wanaojiita waanzilishi wa silo (founders) ambao hajawahi kukutana nao kisa tu kulinda mamlaka yake.
Mwanamke ishi nae kwa akili akiwa hana kitu atakuheshimu na kukuthamini ila yeye akipata atakudharau na kukunyanyasa , wanaume wengi sana wanateseka kwa ajili ya wanawake ila kwa vile sisi ni wanaume na tuna vifua tunajikaza na kuvumilia mengi.
Mungu tusaidie