Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

Bora wageni waje watuondolee CCM. Wakate mizizi yote mpaka vitukuu vyaooo
Hapo tutakuwa tayari kupambana na wageni.

Sasa adui ni mmoja tu CCM
Adui hatokuja KUitoa ccm, ataitoa Tanzania,

Acheni mihemko, ccm tunaitoa wenyewe.
 
Rwanda mahakama ziko huru ? Yule dada aliyegombea urais na Kagame yuko wapi leo. Acheni utani. Africa tunaishi kama kambi ya jeshi. Ni amri juu ya amri. Kenya wanakufa usiku na mchana kila wanapoandamana. Hadi sasa wamekufa kwa mamia.
 
Kagame ana balaa, ni mda hako ka nchi tukachukue ili atiwe adabu
 
unachesema ni sahihi isipokuwa tanzania tunapenda kuishi kwa matumaini ndiyo utakuta tukijisifia sana sijui idara ya usalama inafanya kazi haswa hebu angali tu utendaji wa kitengo cha upelelezi wa polisi .
 
Ukifuatilia vizuri unagundua kuwa huyo jamaa ashawagusa hao wote, plus SA na ZIM (sijui kuhusu KE). Na still bado he got some guts!
TZ hii ya sasa chini ya CCM usiiamini sana!
 
Mwenye kujua jerry slaa ni sababu zipi zilifanya akaondolewa wizara ya ardhi ,binafsinilipoona anafanya vizuri na kupelekwa wizara ya habari anakovurunda,anijuze
 
Mtanikumbuka 🐼

Kagame ni mchumba tu
Ungekuwa unatafakari ungekuwa wa kujiuliza kwa nini Kagame ana dharau.
Nchi yoyote iliyogawanyika,hata ikiwa na silaha na ujuzi mkubwa kiasi gani,haiwezi kupambana na adui.
Kosa kubwa la nchi yetu,ni siasa zinazowagawa watu kwa misingi ya kiitikadi,dini na hata kimatabaka ya uchumi.
Hii ndiyo hatari zaidi ninayoiona na ninashangaa kama mimi kilaza naweza kuiona na wenye akili ( inteligents) sijui kwa nini hawaoni.
Huku mitaani kuna matabaka ya wenye chuki na serikali na Chama na wanaoikipenda sana Chama tawala .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…