Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

really?

mbona kikwete alimpiga mpakani wa tz na rwanda kule vya kutosha mpaka akaomba msamaha mwenyewe?

mbona uganda ilimchapa ikamfungia na mpaka akaomba msamaha mwenyewe?

eti jeshi ya kuipiga rwanda,really?

naona kuna stupid tutsi illusion of superiority kudhani kila kabila east africa ni kama wahutu

motherfvckers wachagga,wahaya,wakikuyu,wajaluo,etc sio wahutu,you better behave yourselves!

huu usenge wa ukabila mnaowafanyia wahutu do not ever export to other countries kutokana na kuota ndoto zenu za mchana

we will banika yall kama mishikaki maana naona discipline waliyowapiga wahutu haijawatosha
Nendeni mkamguse Sasa juzi tu kafagia wanajeshi wenu na anatamba mmebaki kuwa keyboard warrior
 
Kilaza katika ubora wake,hivi unayajua yanayotokea katika utawala wa Kagame au umeandika kuonyesha ufundi wa uandishi.Hakuna mhimili wowote unaoweza kuhoji utawala wa PK ni alfa na omega.Tz kuna shida ila ya kwa KP ni mara 10 ya yanatokea TZ
 
Twiga wanawanasa sana Mawaziri, Maofisa Usalama, Wanajeshi na Watumishi wa Umma.
Wengine wameolewa na ma coo wakurugenz yaaniiii aibu aibuuuu hao vijana wakileo wapenda toto zuri ndio balaa tupu wananaswa kama ulimbo hakuna maadili wana tia hapa wanatia pale wakijiona wajanja kumbe wamenaswaaaaaaaaa...
 
Bora kuoa. Wanapenda kweli michepuko ya pande zile
 
Nendeni mkamguse Sasa juzi tu kafagia wanajeshi wenu na anatamba mmebaki kuwa keyboard warrior
mkuu

kagame aendelee kuitesa kongo sababu haina serikali

sisi hatuna wanajeshi kongo,walioko huko ni retirees,tena wametumwa kuangalia na wala sio kupigana

hakuna nchi au serikali yetu ipeleke wanajeshi wake na artlilleries zake kongo ikasaidie nchi ingine ndugu

kagame yeye anajitia anaweza sana,basi aguse coordinate yeyote ya ardhi ya Tanzania auwawe
 
Yale majeneza yaliyovalishwa bendera za tanzania na kuagwa mwaka huu na jwtz ni ya nchi Gani?
 
Kilaza katika ubora wake,hivi unayajua yanayotokea katika utawala wa Kagame au umeandika kuonyesha ufundi wa uandishi.Hakuna mhimili wowote unaoweza kuhoji utawala wa PK ni alfa na omega.Tz kuna shida ila ya kwa KP ni mara 10 ya yanatokea TZ
We jinga kweli yaani Rais wa Rwanda ufananishe na takataka za tanzania
 
Yale majeneza yaliyovalishwa bendera za tanzania na kuagwa mwaka huu na jwtz ni ya nchi Gani?
wale sio active soldiers mzee..wale ni wastaafu waliomba kwenda

tena wa "kuangalia" na wala sio kupigana

TZ ipeleke resources zake kongo kwa faida gani ndugu?

kafieni huko

guseni Tanzania mainland,he will be dead!
 
Kwahiyo jwtz ni jeshi la wastaafu tanzania kumbe ndio kifuoi chake jwtz nimekupata ndio maana siku hizi wanajeshi wanachapika mitaani kumbe wastaafu kagame ana haki ya kutamba
 
Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.

Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.

Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.

Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.

Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.

Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.

Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.

Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.

Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.

Naionea huruma sana Tanzania.

Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.

Rest In Peace Tanzania.

Kagame ni Rais wa nchi .
Yule mwingine ni Rahisi wa inchi ya machawa na mashekhe wasiojua hata nini kilichopo kwenye Katiba zaidi ya kunukuu biblia kwamba zitiini mamlaka .

Tanzania hii ya machawa na wala mafisadi isije ikathubutu kuanzisha chkochoko na nchi yoyote ya jirani labda Burundi na Komoro .

Wasijaribu kuichokonoa Malawi,
Wasijaribu Kenya
Wasijaribu
Wasijaribu Rwanda
Wasijaribu Uganda ya Museven

Leo vijana ambao ndio wanaopaswa kulipigania raifa lao wamewekwa mbali kabisa na uchumi na rasilimali za nchi yao . Sasa wataipigania hii nchi kwa manufaa ya nani wakati wao hawana sehemu katika keki ya Taifa .
Tanzania hii sio ile ya Watanzania wote chini ya Mwalimu Nyerere . Hii ni Tanzania ya familia ya Mwnyi .Kikwete, Samia ,Bashe na Mwigulu .
 
Huna akili ,warfare imebadilika mno .Hizi hadithi za kale zishapitwa na wakati .Kifupi jeshi la CCM la wabangua korosho na kuponda kokoto halina ubavu wa kuzitwanga na Kagame , tena msithubutu ,mtafinywa na kunyooshwa mpaka Muite maji mmaa , na kwenye intelligence hili li nchi ndio lipo uchi kuliko wakati wowote ule katika historia , kwenye age hii ya drone warfare, missiles zenye kasi na explosiveness kubwa ,air defence systems na ndege za kisasa ,tena yule jamaa alivyo poa kwenye hiyo sekta .mnatafuta aibu
Endelea kujitekenya na kucheka
 
C
Yote haya chanzo ni CCM.

CCM wako serious kwenye suala moja tu. Kuendelea kuwa madarakani na kuendelea kulifaidi hili Taifa na rasilimali zake kwa kujijengea ukwasi wa kutisha hasa kwa Viongozi wake na makada waandamizi.

Hawana habari ya kujenga mifumo imara ya Taifa hili kulifanya kuwa imara kwa miaka 100 ijayo.

Hawana habari ya kulijenga Taifa imara kiuchumi ambalo Wananchi wana maisha mazuri na wako salama dhidi ya maadui wa ndani na nje. Wao wanaangalia maadui zao tu katika kuahika dola hasa vyama vya upinzani na wananchi wenye akili wanaokosoa mienendo yao.

Kwa hali hiyo kwa nini maadui wa nje wasitake advantage?
CCM ilikosea sana kwamba ukishavaa nguo ya CCM hata kama ni jambazi mwizi wanakuacha wafanya biashara alamu wengi wamejificha kwenye kivuli cha chama
 
Kagame ni Rais wa nchi .
Yule mwingine ni Rahisi wa inchi ya machawa na mashekhe wasiojua hata nini kilichopo kwenye Katiba zaidi ya kunukuu biblia kwamba zitiini mamlaka .

Tanzania hii ya machawa na wala mafisadi isije ikathubutu kuanzisha chkochoko na nchi yoyote ya jirani labda Burundi na Komoro .

Wasijaribu kuichokonoa Malawi,
Wasijaribu Kenya
Wasijaribu
Wasijaribu Rwanda
Wasijaribu Uganda ya Museven

Leo vijana ambao ndio wanaopaswa kulipigania raifa lao wamewekwa mbali kabisa na uchumi na rasilimali za nchi yao . Sasa wataipigania hii nchi kwa manufaa ya nani wakati wao hawana sehemu katika keki ya Taifa .
Tanzania hii sio ile ya Watanzania wote chini ya Mwalimu Nyerere . Hii ni Tanzania ya familia ya Mwnyi .Kikwete, Samia ,Bashe na Mwigulu .
Umeongea maneno mazito ya ukweli kabisa
 
C

CCM ilikosea sana kwamba ukishavaa nguo ya CCM hata kama ni jambazi mwizi wanakuacha wafanya biashara alamu wengi wamejificha kwenye kivuli cha chama
CCM ni chama tu cha siasa. Hakipaswi kuchukua nafasi ya Taifa wala Katiba yake.

Taasisi nyeti zikilitambua hili zitasimama na Taifa na sio CCM wala Viongozi wake walafi na mafisadi. Na hapo ndo nchi yetu ingepona.
 
Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.

Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.

Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.

Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.

Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.

Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.

Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.

Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.

Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.

Naionea huruma sana Tanzania.

Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.

Rest In Peace Tanzania.
Bahati mbaya huelewi mambo na huna unachojua...kwa kukugusia kidogo idara yetu Wazee wa (eagle wing house) wanamuelewa na wanaijua vyema serikali ya Kigali...ni vile tunanufaika nao kiuchumi la sivyo tungeshasahau Kama Tall aliwahi tawala, kiufupi si tishio kwetu, tunalijua hilo vizuri....wasiwasi wake unamsumbua...anajua vizuri akikosea kidogo nini kitampata...ONDOA HOFU KIJANA,
 
Kwel kbc umenikumbusha na vile CDF alisema kuwa Tyr Kuna watu wslishapenyezwa had kwenye mifumo ya nchi wametulia wakiusoma mchezo
 
Bahati mbaya huelewi mambo na huna unachojua...kwa kukugusia kidogo idara yetu Wazee wa (eagle wing house) wanamuelewa na wanaijua vyema serikali ya Kigali...ni vile tunanufaika nao kiuchumi la sivyo tungeshasahau Kama Tall aliwahi tawala, kiufupi si tishio kwetu, tunalijua hilo vizuri....wasiwasi wake unamsumbua...anajua vizuri akikosea kidogo nini kitampata...ONDOA HOFU KIJANA,
Tangu lini njiwa kawa eagle?
 
CCM ni chama tu cha siasa. Hakipaswi kuchukua nafasi ya Taifa wala Katiba yake.

Taasisi nyeti zikilitambua hili zitasimama na Taifa na sio CCM wala Viongozi wake walafi na mafisadi. Na hapo ndo nchi yetu ingepona.
Sasa Nan wa kusimama ilihali wote wanasifu na kuabudu
 
Ni suala la kuchukua hatua tu.

Taasisi hizi zijitambue rasmi na kusimamia mustakabali wa nchi.

Zinapaswa kujitenga na CCM na kuwafanya waujue ukweli kuwa wao ni chama cha siasa tu na sio sehemu ya dola.
 
Back
Top Bottom