Tanzania ina dalili zote za Taifa imara.Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Kagame keshaigusa Tanganyika kwa namna nyingi sana.Kagame anaweza congo pekee yake
wala hata Burundi haiwezi
if he touches tZ au UG au KE he is dead
we cant waste our resources to protect congo thats why kagame has time to do whatever he can there
tulichopeleka huko ni our waste retired soldiers to look not even to fight....kagame kuwapiga ndio imekua sherehe?
fools
kagame akitaka kufa aguse any Tanzanian territory any coordinates aone kama hatakufa siku hiyo hiyo
umeshinda, tufanye umeshawapiga Rwanda..chukua kombe.sitaki stori za kufikiria na kubuni na kudhania
nachojua kikwete alimnyuka kagame mpakani mpaka akaomba msamaha mwenyewe
hii sijui ya sudani and blah blah ni vitu hatuwezi verify hapa
siwezi kukuamini about ishu ya Sudan,no one knows the truth
tena a JF random member kama wewe eti unakuja na a general talk about Sudan,no evidence,nothing halafu nikuamini ni Kagame?
Kagame kusafirisha wanajeshi tu kwenda uganda tu hawezi,eti leo kaibukia Sudan,?to do what?
fvck outta here!
Maneno ya mkosaji.
Ndo ile hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi.
Unamaliza tu karatasi na miti maneno meeengi. Ukweli ni kwamba aliwatia adabu na hakuna mnaweza kumfanya.
nimuonee wivu kagame au rwanda iweje?Maneno ya mkosaji.
Ndo ile hadithi ya sungura sizitaki mbichi hizi.
Unamaliza tu karatasi na miti maneno meeengi. Ukweli ni kwamba aliwatia adabu na hakuna mnaweza kumfanya.
Endelea kuishi kwa matumaini na sio uhalisia.Tanzania ina dalili zote za Taifa imara.
1. Amani, usalama na utulivu(stability). Kazi ya kwanza na ya msingi ya dola yoyote ni kuhakikisha vitu hivyo vitatu ili shughuli zingine zote ziweze kuendelea.
2. Ina taasisi moja imara inayoitwa CCM. Pamoja na kwamba mfumo wa vyama vingi haujafanikiwa Tanzania, lakini demokrasia ya mfumo wa cha kimoja umekuwa na mafanikio makubwa na kufanikiwa kuiongoza nchi kama taasisi na siyo kama mtu mmoja vile ilivyo kwa PK.
3. In kiwango cha chini sana cha mapambano ya madaraja ya kiuchumi na kijamii(Minimum class struggle) ukilinganisha na baadhi ya majirani. Hii inachangiwa na mfumo wa utawala kujali hadi mashinani. Mfano elimu bila malipo, TASAF, shule za kata, Shule za Samia kwa kila mkoa, VETA kwa kila mkoa, sasa tunaelekea wilayani.
4. Kuwa na mamlaka nyingi zinazosimamia mambo mbali mbali bila kuingiliwa na serikali kuu.
5. Kuwa na mfumo sawa na wa haki katika ajira za umma. Mfumo wa ajira wa Tanzania is one of the best in the World. Hakuna kama yetu hapa Africa.(hizo ndio kazi mojawapo za idara ya ujasusi ili kuhakikisha utulivu na kuepusha marginalization katika nchi.)
6. Imeweza kupambana na matishio ya usalama bila kusambaa na kuleta madhara zaidi katika nchi. Matishio kama vile ilivyokuwa Mkuranga, Kibiti na Rufiji, ilivyokuwa Mtwara kutokana na spillover kutoka Mozambique.
7. Haijawahi kujitumbukiza katika janga la mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yenye kumwaga damu au yenye kusababishwa na mfumo wa utawala.
PK is nothing. Ni mpiga kelele tu.
Kupigana na walinda amani anajiona shujaa 😀😀😀😀😀
GDP wakati masikini Tanzania wamefikia idadi ya Mil 26 kwenye watu milioni 62.nimuonee wivu kagame au rwanda iweje?
yaani GDP ya rwanda ni kama ya Kilimanjaro
Idadi ya watu rwanda ni kama ya dar es salaam
halafu eti niionee rwanda wivu?for what?
niwaonee wivu au niwaonee huruma ndugu?
kama TZ masikini ni mil26 which i dispute basi rwanda nchi nzima ni masikiniGDP wakati masikini Tanzania wamefikia idadi ya Mil 26 kwenye watu milioni 62.
Endelea kujidanganya.
..aguse nini mpumbavu mmoja wewe, umeng'ang'ana aguse aguse..lini na wapi Kagame au Rwanda wamechokoza majirani, upumbavu wenu kupeleka watu congo matokeo ndo hayo waliyofanyiwa, Rwanda r ahead of us sabab ni kuendekeza stupidity km unavyofanya..Rwanda hawashindani na nchi yoyote wao wanadeal na mambo yao kujenga nchi, hawana huo ulimbukeni na mbwembwe za kipumbavu zinafanyika hapa..na hicho ndio tunakosoa, anasa za viongozi, wizi, kutojali, ubinafsi na ujinga mwingine wote unaodidimiza taifa hili, hakuna discipline ndani ya serikali..una jeshi linagombania maeneo na wananchi, jeshi linawaza kupata hela sijui wazipeleke wapi..unaanzisha kuvunja sokoto badala ya kuwaza ulinzi wa nchi, kokoto zitakufikisha wapi..! Hata ukeshe na kelele zako za wivu, ujinga na umaskini ulio nao kichwani..Rwanda sio type yetu!Kagame anaweza congo pekee yake
wala hata Burundi haiwezi
if he touches tZ au UG au KE he is dead
we cant waste our resources to protect congo thats why kagame has time to do whatever he can there
tulichopeleka huko ni our waste retired soldiers to look not even to fight....kagame kuwapiga ndio imekua sherehe?
fools
kagame akitaka kufa aguse any Tanzanian territory any coordinates aone kama hatakufa siku hiyo hiyo
Uzi una longo longo.Umesoma uzi?
rwanda aonee kongo tu..aguse nini mpumbavu mmoja wewe, umeng'ang'ana aguse aguse..lini na wapi Kagame au Rwanda wamechokoza majirani, upumbavu wenu kupeleka watu congo matokeo ndo hayo waliyofanyiwa, Rwanda r ahead of us sabab ni kuendekeza stupidity km unavyofanya..Rwanda hawashindani na nchi yoyote wao wanadeal na mambo yao kujenga nchi, hawana huo ulimbukeni na mbwembwe za kipumbavu zinafanyika hapa..na hicho ndio tunakosoa, anasa za viongozi, wizi, kutojali, ubinafsi na ujinga mwingine wote unaodidimiza taifa hili, hakuna discipline ndani ya serikali..una jeshi linagombania maeneo na wananchi, jeshi linawaza kupata hela sijui wazipeleke wapi..unaanzisha kuvunja sokoto badala ya kuwaza ulinzi wa nchi, kokoto zitakufikisha wapi..! Hata ukeshe na kelele zako za wivu, ujinga na umaskini ulio nao kichwani..Rwanda sio type yetu!
Huna jeshi la kumpiga kagame wewe endelea kubwabwaja na hao wanajeshi wako wafuga vitambi na matako makubwarwanda aonee kongo tu
utapiga makelele sana....it is the matter of time atafanya miscalculations anakatwa kichwa
kwahiyo ni haki rwanda kuionea kongo?
motherfvckers kweli nyie
rwanda kwenda kuonea nchi isiyo na serikali ndio ufahari?
kwanini asiguse nchi zenye serikali zao?
rwanda ni kijazi wa west kupitia kwa boss kenya
kila siku kagame anaripoti kenya kwa mabwana zake,asipofanya hivyo he is dead
..u r fulish, hudumia masikini wenzako itakusaidia, kuliko kuchoma muda wako na narration za ujinga..kuexpose takataka ulizojaza kichwani..rwanda aonee kongo tu
utapiga makelele sana....it is the matter of time atafanya miscalculations anakatwa kichwa
kwahiyo ni haki rwanda kuionea kongo?
motherfvckers kweli nyie
rwanda kwenda kuonea nchi isiyo na serikali ndio ufahari?
kwanini asiguse nchi zenye serikali zao?
rwanda ni kijazi wa west kupitia kwa boss kenya
kila siku kagame anaripoti kenya kwa mabwana zake,asipofanya hivyo he is dead
Uongo kabisa. Rwanda na Uganda Wana urafiki ulioshiba sawa na America na Israel. Sasa Tanzania rafiki yako ni nani. Kenya wana democrasia na katiba nzuri hivyo na rahisi kujilinda.east africa wote tunamchukia kagame
hakuna rais hata mmoja east africa anampenda kagame
none
na hii ni hatari kwake kuliko kitu kingine
achunge sana domo lake
really?Huna jeshi la kumpiga kagame wewe endelea kubwabwaja na hao wanajeshi wako wafuga vitambi na matako makubwa
Bora wageni waje watuondolee CCM. Wakate mizizi yote mpaka vitukuu vyaoooTanzania ni nchi yetu,
Tuipende.
Changamoto za nchini petu tuzitatue wenyewe bila kuungana na wageni.
Babako akiwa maskini, utamsifia baba wa jirani ?