Oneni hii😂😂,hizi maneno anazoongea kagame ni ujinga wa mwisho kabisa
kagame anajijengea chuki na majirani zake
siku wakijiunga kagame anabanikwa kama kuku wa kuchoma
anaongea sana,sio strong kama anavyojitapa huyu matako
Uwezo huo huna hata kidogo, akiamua hata leo anabonyeza remote anakumaliza akiwa ofisini kwake Kigali.Hivi huyu PK hawezi kukamatwa kama Lissu? Maana naona wengi wanasema ni ka nchi kadogo tu.
Tumkamate awekwe lock up kidogo kama mwezi kisha aachiwe.
Nani haipendi Tanzania?Tanzania ni nchi yetu,
Tuipende.
Changamoto za nchini petu tuzitatue wenyewe bila kuungana na wageni.
Babako akiwa maskini, utamsifia baba wa jirani ?
Walikuwa na jukumu gani hadi kuuwawa namna ile?Nadhani hujui majukumu ya vikosi vya sadec Drc. Amini hilo ni debe tupu au kama mupohapa kufurahisha baraza sawa
Sasa ichukie CCM lakini uipende Tanzania.Nani haipendi Tanzania?
Yanaongelewa mara ngapi humu CCM wanavyoliharibu hili Taifa? Huwa wanasikia? Huwa wanabadilika?
Kwanza wapi imeonekana naichukia Tanzania?Sasa ichukie CCM lakini uipende Tanzania.
Ccm inapita tu, lakini Tanzania yetu itakuwepo,
Usiiombee uchuro Tanzania Tena kwa mjinga kama huyo mwanafunzi wetu.
Sasa kusema tutamfanya Nini huyo mjinga,Kwanza wapi imeonekana naichukia Tanzania?
Uzi huu unahusu namna CCM walivyoliharibu hili Taifa hadi kufanya tumefikia hapa.
Umenena 💯, kipindi Cha Mabeyo na Magufuri ndipo jwtz lilikufa kabisa.Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Hamna la kumfanya chochote kwa sababu mmeendekeza uchawa hadi kwenye vyombo muhimu na mifumo muhimu.Sasa kusema tutamfanya Nini huyo mjinga,
Hapo ni uzalendo kwa nchi yako?
Nchi hii isikie tu.
Na haya ndo yamefanya Taasisi hizi nyeti kujifia kifo kibaya sana hadi Kagame saivi anajipigia atakavyo.Umenena 💯, kipindi Cha Mabeyo na Magufuri ndipo jwtz lilikufa kabisa.
1. Watu walikuwa wanapandishwa vyeo kwa ku brash boot 🤣🤣🤣
2. Ukipeleka umbea hasa kuwa fulani anashabikia chadema unapotezwa au kufunguliwa mashitaka
3. Ukihoji utaratibu unafukuzwa
4. Ajira/kuandikishwa ni watoto wa makamanda.
5. Uandikishwsji jeshini haufuati miongozo ya kiafya yaani full upumbafuu.
6. Sio kihangaiko wala TMA unfit ni kibao 🤣🤣🤣
Kagame analifahamu jwtz kiliko mwenyekiti wa ccm 🤣🤣🤣
Yaani Kagame akiamua Tanzania itapigwa siku moja tu. Ukitaka kupambana utaumia bure kwaajili ya CCM na familia zao 🤣🤣🤣Ukitizama mizani kwa sasa Tanzania ndo failed State na sio Rwanda
Uliwahi kusikia disaster iliwapata askari wa Tanzania Sudan kikosi cha kulinda amani..? miezi michache baada ya JK na PK kulumbana..tafuta ujue ilivyotokea itakupa ufahamu vile viongozi wako walivyo na watanzania dhidi ya mataifa mengine.watutsi mna matatizo ya akili
naona israel inafanya yake huko middle east nyege mnapata nyie
mtakuja kuchomwa moto mara ya pili mkiwa mnaona na macho,ile 1994 haijawatosha
aguse tanzania aone
mna vichaa nyie
..wakumbushe miaka kadhaa imepita awamu ya 4.. sudan, nini kiliwapata wanajeshi wa Tanzania.. hadi Leo waliosababisha mazozano huwa wanaona aibu kuongelea tukio hilo, kimya....! wakati ni wazi kabisa waliwekewa mtego wakanasa..vijana 12 au 15 nadhani..nani alisimama kuongea?Debe tupu angekuwa hajatufanya lolote.
Kwa dozi aliyotupa Bukavu na Goma sie ndo debe tupu sio yeye
..debe tupu!Kilichompata iddi amini asikitafute
Hizo Taasisi nne ziko wapi?Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
..nani ni mzalendo hapa, maneno ya kinafiki haya kupumbaza watu.Sasa kusema tutamfanya Nini huyo mjinga,
Hapo ni uzalendo kwa nchi yako?
Nchi hii isikie tu.
ushahidi hunaOneni hii😂😂,
Kagame anapanga hadi safu ya viongozi kwenye serikali yako...
Watu wanaopokea Payroll ya Kagame wametapakaa kuanzia Deep state hadi ngazi ya kitongoji. Ni ukweli mchungu ila yakupasa ukubaliane nao
sitaki stori za kufikiria na kubuni na kudhaniaUliwahi kusikia disaster iliwapata askari wa Tanzania Sudan kikosi cha kulinda amani..? miezi michache baada ya JK na PK kulumbana..tafuta ujue ilivyotokea itakupa ufahamu vile viongozi wako walivyo na watanzania dhidi ya mataifa mengine.