Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #81
We huoni? Unahitaji uthibitisho upi tena?Thibitisha hizo taasisi nne zimekufa

Watajiunga lini tena? ...siku wakijiunga kagame anabanikwa kama kuku wa kuchoma
Hiyo mikoa ya Tabora kigoma ,Kagera na Mara na hata zanziba, kuwa wahamiaji wameshajaa , nawalishajua ukivaa nguo za ccm hakuna wakukugusa, wageni wamechukua mpaka mamraka Katika vitengo vyote hivyo.Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Serikali imejipanga zaidi kustawisha the ruling class na kudhibiti dissenters kwa gharama yoyote!Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Na ndo mana tumefikia hapaSerikali imejipanga zaidi kustawisha the ruling class na kudhibiti dissenters kwa gharama yoyote!
Ukubwa wa nchi sio tu eneo la mita za mraba. Unaweza kuwa na nchi kubwa alafu ikawa hopelessUnapambana sana kuidogodesha nchi kubwa ya Tanzania mbele ya hicho kijiji.
Tanzania ni kubwa na huwezi kufananisha na hiyo failed state.
kagame anaishi kama digidigi nchini mwake..kina nani wamuue, kamuue wewe, si unaona yuko very low.
Congo na rwanda ipi nchi kubwakagame anaishi kama digidigi nchini mwake
viongozi wa jeshi hawaaminiani
ndio maana kila siku anabadili,kuaminiana hakuna
kuna siku atapigwa panga vizuri tu
huezi endesha nchi kama familia binafsi
na akisema aguse any east african super power,he is dead for real!
congo haina serikali....ni banana republicCongo na rwanda ipi nchi kubwa
Komeni kulinganisha Tanzania na hizo failed state.Kama ni ukubwa wa eneo ...nani anakubishia,ipo eazi ,ila maeneo mengine mmghhhhhh
..aguse mara ngp? naona unajifurahisha tu.kagame anaishi kama digidigi nchini mwake
viongozi wa jeshi hawaaminiani
ndio maana kila siku anabadili,kuaminiana hakuna
kuna siku atapigwa panga vizuri tu
huezi endesha nchi kama familia binafsi
na akisema aguse any east african super power,he is dead for real!
Kagame hana lolote. Ipige vita CCM ila sio kuunganisha na ujinga wa kagameUkimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Huwezi kutenganisha kuanguka kwa Taifa letu na CCMKagame hana lolote. Ipige vita CCM ila sio kuunganisha na ujinga wa kagame
Uko sahihi kabisa mkuu, lakn hana nguvu yoyote, anaingalia DRC, Mgogoro uliopo Kenya na Sekeseke la uchaguzi TZ anahisi anaweza kufanya lolote.Huwezi kutenganisha kuanguka kwa Taifa letu na CCM
Ccm siyo tatizo ...tatizo ni waislamu viongoziSiamini kama tatizo ni dini ya mtu. Tatizo ni CCM sio watu.
Tanzania is a cosmopolitan state. Hayo mambo ni kawaidaUkimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote.
Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia kimfumo, kiasi ambacho mifumo yake inaingilika na iko wazi kutokana na kuendeshwa na siasa na Wanasiasa badala ya Wataalam na Utaalam.
Taifa lolote imara duniani linafanywa kuwa imara na uimara wa Taasisi zake kuu 4 ambazo ni Idara za Ujasusi wa Ndani na Nje, Mahakama, Jeshi la Ulinzi na Utumishi wa Umma.
Ukifuatilia mwenendo wa Tanzania kwa takribani miaka ishirini sasa utagundua kuwa, Taasisi hizi Kuu ambazo ndizo zingepaswa kulifanya Taifa letu liwe imara zimekuwa compromised na Chama cha Mapinduzi.
Taasisi hizi sizo zinazoamua mustakabali wa Taifa letu, Sera zake, Uchumi na Maendeleo yake bali zimedhibitiwa kabisa na Chama cha Mapinduzi ambacho ndicho kinachoamua mwenendo na Utendaji kazi wa Taasisi hizi.
Sio hivyo tu, kutokana na kuhodhiwa kwa Taasisi hizi, maamuzi na ushauri wa kitaalam wa Taasisi hizi kwa nchini Tanzania umekuwa ukiangalia maslahi mapana ya CCM ili kuhakikisha kinaendelea kuwa madarakani na kutawala hili Taifa badala ya kuangalia mustakabali mpana wa Taifa letu na Wananchi wake kwa miaka mingi ijayo. Hii ni kwa sababu uteuzi wa Viongozi wa Taasisi hizi umekuwa ukizingatia unyenyekevu wao kwa Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake ila sio umakini, weredi, uwezo wa kiakili na uwezo wa kiutendaji.
Ni bahati mbaya sana watu mbalimbali waliowahi kuonya kuhusu haya kwa kulazimisha mfumo wa nchi ubadilike kwa kuipatia Tanzania Katiba Mpya iliyo bora walikuwa wanadharauliwa sana na kuitwa majina mbalimbali ikiwemo kuwashawashwa na kuambiwa kila zama zina majira yake hivyo watulie tu.
Inaelezwa pia kuwa, kwenye Taasisi hizi, Viongozi walioonekana au wanaoonekana kufanya kazi kwa kuzingatia misingi na kusema ukweli bila hofu kwa vipindi tofauti wanaondolewa kwenye nafasi zao na kuwekwa wale wasiohoji na wanakubalina na kila kitu kwa Maslahi ya Chama cha Mapinduzi na Viongozi wake wala sio maslahi ya Taifa.
Kwa Tanzania ya leo sasa, Idara zake za Ujasusi ni kama zimekufa. Kwa maneno ya Kagame kuwa wanajeshi wake wanaweza kutembea kilomita 2000 kushambulia maeneo ambayo mnayatumia kutushambulia ilimaanisha kuwa mifumo yake ya Ujasusi kwa sasa inaweza kufika Dodoma kwenye Ofisi Kuu za Serikali au hata Dar es Salaam kwenye Ikulu kongwe zaidi na Taasisi zetu nyeti za kifedha na kushambulia.
Naionea huruma sana Tanzania.
Sasa tunavuna mavuno ya kuwaendekeza kwa muda mrefu Wanasiasa kuwa juu ya mifumo na Utaalam.
Rest In Peace Tanzania.
Tatizo ni wananchi legelege.Ccm siyo tatizo ...tatizo ni waislamu viongozi
Hii imeniuma saana yaani