Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

#TikiKwaSamia

Kufungua milango ya uwekezaji kwa sekta binafsi kulikofanywa na Serikali kuwaleta na kuvutia zaidi wawekezaji binafsi katika sekta ya bandari kumeleta na inatarajiwa kuleta zaidi matokeo chanya nchini, pamoja na watumiaji wa bandari za Tanzania.
 
east africa wote tunamchukia kagame

hakuna rais hata mmoja east africa anampenda kagame

none

na hii ni hatari kwake kuliko kitu kingine

achunge sana domo lake
Zaidi ya Burundi aliye mahututi kiuchumi nani atajiunga na wewe dhidi ya Kagame?

Kwani juzi ham kushirikiana na Burundi pamoja na Congo kuzikomboa Bukavu na Goma? Vipi mlifanikiwa?

Si aliwachapa? Na wanajeshi wetu aliwateka.
 
Ukiona MTU hataki kuachia madaraka ujue ni mjinga na ni dhaifu kwakuwa anakuwa mifumo yake ya kiutawala anaogopa kuwa itamsaliti.

Ukimuangalia PK hana tofauti na M7 wala hana tofauti na MCC ya Tanzania

Those are weakest leaders

Walichobaki nacho ni kujisifu kuwa wana majeshi imara huku 90% ya wananchi wao ni masikini .
 
Bitter truth, kutengana na kuchukiana sababu ya uofauti wa itikadi za vyama hakuwezi kutuacha salama
 
Zaidi ya Burundi aliye mahututi kiuchumi nani atajiunga na wewe dhidi ya Kagame?

Kwani juzi ham kushirikiana na Burundi pamoja na Congo kuzikomboa Bukavu na Goma? Vipi mlifanikiwa?

Si aliwachapa? Na wanajeshi wetu aliwateka.
mkuu

naona unajipiga punyeto

burundi na kongo nchi zipo dsyfunctional ndio nchi gani mkuu?

nchi hazina uongozi,nchi za mwisho kwa umasikini duniani ndio nchi gani hizo?

mkuu,kagame anachukiwa na mataifa yote east africa

siku anapotea njia anagusa Uganda,kenya au tanzania....any one of them,he is dead!
 
Mataifa gani unayosema wewe?

Mseven na Kagame ni kitu kimoja

Kagame na Kenyacni kitu kimoja.
 
Mataifa gani unayosema wewe?

Mseven na Kagame ni kitu kimoja

Kagame na Kenyacni kitu kimoja.
nani kakwambia?

kumbe rwanda ni lazima ilambe matako ya superpowers ili isiwatibue?

Uganda hawawapendi rwanda,this happened not long ago,Uganda walifunga mpaka Rwanda asirushe miguu Uganda,kagame apoligized to museveni himself

kenya ni superpower,rwanda is doing its bidding in Congo

Kagame ni kijakazi wa kenya,madini yote yaende nairobi ili yaende West....na rwanda siku anamtibua mkenya,he is dead

rwanda can never touch tanzania in any way or form,he will be dead

rwanda yeye anaonee wajinga wenzie Burundi na Congo,ila real east africa ni collection of superpowers tu,rwanda is a small guy!
 
Hizi ni ndoto. Rwanda anawashughulikia na hamna lolote la kumfanya.

Vyombo vyote vimehodhiwa na CCM hizo akili za kuwashinda Rwanda mtazipata wapi?
 
Hizi ni ndoto. Rwanda anawashughulikia na hamna lolote la kumfanya.

Vyombo vyote vimehodhiwa na CCM hizo akili za kuwashinda Rwanda mtazipata wapi?
sisi wamehodhi maccm

rwanda is even worse

vyombo vyote wamehodhi RPF which is the same as maccm

kibaya zaidi kahodhi kagame na familia yake binafsi

hakuna nchi pale kuna kagame na familia yake ndio wanaendesha nchi kama duka lao binafsi

nchi haina kuaminiana kila siku anafukuza wanajeshi,siku lazima wamuue

tanzania au kenya au uganda huwezi sikia kuna kiongozi wa jeshi kafukuzwa,maana ni mfumo na uaminifu upo

thats a different story in rwanda....kagame anaishi kwa wasiwasi kama digidigi

aondoe wote sasa aweke watoto wake pekee,huwezi endesha nchi namna hiyo

ni vituko kusema eti rwanda anaweza kufanya vita na tanzania,ni pipe dream

kama kaishindwa uganda which is very low from us,what makes u think anaweza kutusogelea?

watutsi kuna kitu mnakitafuta,mlivyochinjwa 1994 haikutosha,hii ya pili itawapata sawasawa...endeleeni kupata nyege
 
Unaweza kulinganisha RPF na CCM?

RPF wanajenga mifumo imara, Jeshi imara, Taasisi za Ujasusi imara, Mashirika imara?

CCM huku wanajenga kitu gani imara? Viongozi wa CCM hakuna wanachowaza zaidi ya kuendelea kuwa madarakani ili waendelee kula na kujinufaisha. Wenzao wanawaza maendeleo ya Wananchi wote.

Sisi wetu wanaziua Taasisi ili wazitawale. Wenzao wanazijenga Taasisi kujenga Taifa imara.
 
Kufikia 2005 hali ilikuwa hivi? Hao wanasiasa ni wengi sana hawana majina? kwa Tanzania ilivyo hata mtu mmoja anaweza kuwa source(mastermind) wa hali hii..km Nyerere ndie chimbuko la uhuru, yupo pia chimbuko la kufeli huku..haitoshi kusema tu wanasiasa!
 
mkuu

RPF ni family run,sio taasisi ile

tanzania kama taifa ina misingi imara since uhuru,rwanda hakuna misingi ndio maana kila siku ni coupe de'tat

mojawapo ya shida hiyo ndio inamfanya kagame asistaafu,anajua akistaafu anaeingia lazima amuue

nchi inaiendeshwa na familia sio nchi,ni kiosk

hakuna taasisi na mifumo

kama taasisi na mifumo haina tofauti na familia ya kagame basi hapo hakuna nchi

tanzania unaenda kwenye taasisi haina uhusiano na familia ya mtawala

kagame jeshi lake halina uaminifu nae ndio maana kila siku anapangua viongozi wa jeshi...kuna siku lazima wamuue tu

hapa kwetu maccm ni wapita njia tu,kuna siku kitaingia chama kingine....mifumo ya state ni ya state,mtawala au familia yake hazina mahusiano

thats different from rwanda

rwanda yupo level moja na akina burundi,congo huko.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…