Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

Chukua medali umeshinda..hicho ndio watanzania wanaweza! maneno..! vitendo sifuri.
 
..kina nani wamuue, kamuue wewe, si unaona yuko very low.
 
..mtu anaota ndoto mchana, rotation ya wakubwa wa tiss na sabab hazitolewi inaashiria uimara..hao mawaziri mkwe akiwemo sio biashara za familia hizo..endelea kuota.
 
Taasisi za Ujasusi za Rwanda zinafanya missions kwa mafanikio hadi kwenye Mataifa Makubwa. Unaweza sema hilo ni familia?

Jeshi la Rwanda linadhibiti biashara ya Madini ya Congo Mashariki kwa faida ya Taifa la Rwanda. Unaweza sema hilo ni la familia?

Rwanda saivi anaishawishi UN ipeleke Ofisi zake Kigali. Anashawishi Formula 1 waanzishe mashindano Rwanda kuongeza biashara na utalii. Shirika lao la ndege lina perform vizuri. Hayo yote ni familia?

Kagame anaweza kuwa na weakness zake ila sio katika kuijenga Rwanda imara kupitia Taasisi na mashirika imara.
 
Hakika..!
 
Hongera! Umeelezea vizuri sana!
 
Unapambana sana kuidogodesha nchi kubwa ya Tanzania mbele ya hicho kijiji.
Tanzania ni kubwa na huwezi kufananisha na hiyo failed state.
Kama ni ukubwa wa eneo ...nani anakubishia,ipo eazi ,ila maeneo mengine mmghhhhhh
 
lawama zote ziende Kwa ccm iliyo tufikisha hapa tulipo Leo hii kwakweli ccm aifai kabisa.
 
Amepenyeza Twiga wake kwa mfumo mpaka wanapiga picha na board member wa jumba jeupe wapo tayari kuliwa tg ila wakiondoka mawasiliano yako wanayo God tusamehe
 
Siasa haipaswi kuwa juu ya mfumo. Wanasiasa hawapaswi kuamua hatima ya taifa bila kushirikisha utaalam na utashi wa kitaifa.
Tunaweza kubaki tunabeza Rwanda au nchi nyingine, lakini tusisahau kwamba hatari kubwa zaidi ni ile inayotokana na kuzoea uozo wa ndani hadi tukadhani ni kawaida, Taifa linapoishi kwa mazoea ya kuvumilia uongozi mbovu na taasisi dhaifu, hujiandalia anguko lake polepole.
 
Wawekezaji ,wapi ...kama ni Dipi Wedi" mle ndani Kuna Wanyarwanda wa kutosha!
 
Amepenyeza Twiga wake kwa mfumo mpaka wanapiga picha na board member wa jumba jeupe wapo tayari kuliwa tg ila wakiondoka mawasiliano yako wanayo God tusamehe
Twiga wanawanasa sana Mawaziri, Maofisa Usalama, Wanajeshi na Watumishi wa Umma.
 
Thibitisha hizo taasisi nne zimekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…